Ndugu umeongea mawazo yangu kabisa.Wanajua thamani ya elimu na wanafahamu ni jinsi wakifanya hivyo wata fanikiwa kimaisha katika elimu
Ndio maana husoma sana na baadae kufanikiwa zaidi ni wachache sana wenye degree mbili wakiwa mitaani
Ina maanisha wengi wao huajiriliwa au hujiajiri lakini all in all wanatafuta maisha kwa uchungu
Ni kweli kabisa....Ndugu umeongea mawazo yangu kabisa.
Nacho amini ni kuwa vitu vingi watu huviweza ila mtu anajikita zaidi katika kipi anaona kitamtoa kimaisha. Walokulia maisha magumu lazima akazane kusoma akiamini ndo mafanikio yake wakati wenye hela au mazingira mazuri akitafuta elimu ya kumsaidia kuendesha mambo yake tuu.
sample size yako ni mtu mmoja, Jiwe, rubbish!Kuna uhusiano mkubwa kati ya uwezo wa kimasomo ya sayansi na maisha magumu aliyokulia mtu.
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua wengi ambao huwa na stamina na uwezo wa kusoma digrii ya pili na ya tatu ya masomo ya sayansi hapa nazungumzia "pure science" sio digrii za sayansi za arts kama Political Science, Finance au Economics n.k, naongelea "pure science" Kama Udaktari, Engineering, Hisabati n.k
Wanaotoka familia duni na zenye maisha magumu ndio wengi wao huwa na stamina na uwezo mkubwa wa kuzisoma. Na ndio wengi walimu wa hayo masomo vyuo vikuu na madaktari, mainjinia bingwa n.k
Kumbe.Kwa hilo nakubaliana na Wewe
Ni kweli watu wengi ni wa vijijini huko mikoani
Sisi wa dar kidato cha tatu tunachagua zetu Arts tukijitahidi Sana tunachukua mchepuo wa biashara
Mfano......Kuna uhusiano mkubwa kati ya uwezo wa kimasomo ya sayansi na maisha magumu aliyokulia mtu.