Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia



mola atuepushe na mizaha juu yake
 
nimekuuliza au umejiamulia kuingilia kitu usichokijua tambua kuwa kila mtu amepewa uwezo wa kuchat hivyo usipende kuingilia uhuru na maoni ya mtu mjengoni hapa huo ndo mtazamo wangu hivyo kuwa makini usicoment :hat:
Nisicoment?,then kwanini hukumfuata pm?...

Hapa unapoweka post maana yake uwe tayari mtu kukujibu.
 
Unataka uthibitisho UPI zaidi ya ule wa baba yako kumwagia mikoji mama yako ukazaliwa wewe? Maneno yote hayo yako kwenye vitabu vitakatifu!

Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Nimefurahika mno kukuona pande za huku ng'ambo!

Nami pia nipo hapa kiduchu...natupia macho kushuhudia jinsi gani Mwanataaluma Elungata,jinsi anavyomgaragaza huyo mlevi wa mbege Mkibosho Nicholas! Daah!

Yaani msukule wa Chadema Nicholas anapewa logical conclusive arguments...ati yeye anamwaga matusi na kuendeleza chuki zake za uchovu!? Khalaf anajitapa ati "kasoma"!? Daaah!

Ahsanta.
 
Nisicoment?,then kwanini hukumfuata pm?...

Hapa unapoweka post maana yake uwe tayari mtu kukujibu.

Mkuu Elungata...nakusoma mno!

Huyo Dada Ladyniece nafikiri!?...yeye msamehe tu!

Yule mlevi Nicholas...yaani umefanza uzuri kumburuta kwa hoja zako murua na zenye minyambuo ya kina/persuasive arguments!

Mchovu wa fikra kama huyo Nicholas...yaani pana wakti wa kumdharau...lakini pia pana wakti wa kumnyambua na kumwacha uchi hadharani kwa hoja!...yaani kama hivi ulivyofanza hapa jamvini!? Duuh!

Nafikiri ametahayuri mno...ndo waona matokeo yake akarejea kwenye mazungumzo yake ya siku zoote...yaani kashfa,matusi na chuki!? Daaah! Walevi bana!

Ahsanta.
 


uharo mtupu
 
ushahidi maana yake nini kwa mtizamo wako?.

Kumbe naongea na mtu mwenye uelewe zero kabisa,what a wastage of time!!.
Unaendeleaje kumuuliza mtu ambae ana uelewa zero?
Umejuaje kuwa nina uelewa zero?
Ila kwakua maji nimeyavulia nguo ntayaoga,sikujua,kumbe kiwango cha elimu kimeshuka sana bongoland hadi mtu hawezi akaelewa simple statement kama hiyo niliyokupa,
Umeamua na wewe kuwa na uelewa zero?
Wewe umesomea wapi kama elimu imeshuka bongo?
hata kama hujui kimombo si ungemuomba maxshimba akutafsirie kuliko kuropoka.
Hebu tazameni huyu jamaa
Kama wewe una uelewa mkubwa kama unavyojinadi hapa umewekaje jambo kwa lugha ambayo huna uhakika kama naielewa?

Hiyo ni dalili za uelewa au ujuha?
Umetaka ushahidi kuwa israel wamepiga marufuku mihadhara,mikutano ya kuhubiri injili,nimeweka links lukuki,
Nilikuuliza kama unajua hata ushahidi ni kitu gani hujanijibu na umeishia kuniita majina ya ajabu sana
Inaonekana wewe ndio hujui hata maana ya ushahidi na huna kabisa uwezo wa kuelewa sentensi moja ambayo ni wazi kama niliyokuandikia

Halafu ni link gani uliyoniwekea?
Nilichoona ni maandishi ambayo wewe ndio umeyaandika ambayo hayawezi kufuzi vigezo vya kuitwa ushahidi hata kidogo kama kuna mahali uemeweka hiyo link si uiweke tena tatizo nini au niambie umeiweka wapi ili nikaikague?
nimeweka hadi kifungu cha sheria kilichotungwa na bunge la kneset huko israel,sasa unataka ushahidi gani zaidi,ama unataka nikukatie tiketi ya ndege hadi jerusalemu ukajionee?.
Ulichoweka hapa ni maandishi yako wewe ambayo hata sijui umeyatoa wapi

Hiki ninachoandika hapa nikija na kukuambia kuwa ni sheria ya Japan utakubali?
Tatizo wewe hujui ninachohitaji kwako japokuwa nimekufafanulia,unapodaiwa utoe ushahidi unahitaji ulete hapa link ambayo inaweza kufuzu vigezo vyote vya kiushahidi

Lakini pia itabidi tuichallenge na hali halisi ili tuone kama hiyo link inasema kweli na sio kukubali ki kondoo tu
Bora basi ungepinga kwa kuniwekea hata link ya kuonyesha mahubiri ya kidini huko israel,.
Nilikuambia hapa kuwa kila mwaka kuna watu wanakwenda kuhiji huko na kuna makanisa kibao tu,wewe ukaja hapa na ukasema Wakristo walioko huko ni wachache nikakuuliza hata hao wachache wanawezaje kuwepo huko kama kuhubiri Injili ni marufuku kama ulivyosema hujajibu hadi sasa

Tatizo lenu mnapenda sana kukaa na kudanganyana huko na mnadhani kila mtu anafikiri kama nyie
But una argu for the sake of arguing...ili uonekane na wewe upo.
Haya ni maoni yako na hatujadili maoni ya watu hapa
N.B-huyo mke umenioza wewe?.
Kwani huna?
 
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Nisicoment?,then kwanini hukumfuata pm?...

Hapa unapoweka post maana yake uwe tayari mtu kukujibu.
 
dah,wewe kweli ni impossible,ndo kusema hadi nirudie kuweka link wakati unaweza kurudi nyuma na kuziona?.

Mkuu hii siyo ligi na mie sio kwamba nakuhubiria uingie kwenye imani yangu,AM JUST TRYING TO STATE THE FACT.
It is up to you to beliave what i say or do your own searching.
 
Eiye ni mweupe kichwani hana hoja.. anauliza maswali ya ajabu ajabu.. yasiyokuwa na mantiki..ata akijibiwa atauliza tena swali hilo hilo tena kipuuzi kabisa.. ni wakupuuza
 

Nimerudi na sijaziona

Lakini kama ulichokisema si kipo?
Link si ipo?

Tatizo ni nini kuiweka tena hapa?
 
Eiye ni mweupe kichwani hana hoja.. anauliza maswali ya ajabu ajabu.. yasiyokuwa na mantiki..ata akijibiwa atauliza tena swali hilo hilo tena kipuuzi kabisa.. ni wakupuuza

Maswali gani nayarudia?
Umejuaje kuwa mimi ni mweupe kichwani?
 
Mungu hajaribiwi oohoo na ole wake anaemjaribu
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.

Mwenyewe unajiona umeongea point sana hapo..bila shaka unajiona uko sahihi kabisa...Japo Allah si Mungu wa waarabu wote kama unavyodhani lakini Mungu kwa maana ya Allah ndo huyu huyu aliyeumba dunia..aliyemfanya Mariam kuwa na Mimba pasipo kuingiliwa na mwanaume na kisha kumzaa Issa/Yesu ambaye wewe unamwita Mungu bila shaka.
 

ALLAH ALIUGUA MACHO:

"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)

Swali:
Sasa kama Allah anaweza kuumwa macho mpaka yakawa mekundu ,atawezaje kuiumba dunia?Anawezaje kumfanya Marium akabeba mimba pasipo kuingiliwa?

Sidhani kama Allah ndio yule Mungu wa Isaka,Yakobo na Ibrahim!

This is something else!!!!!
 

Jukwaa la Elimu wamemkamata kibaka ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…