mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Umoja wake ni upi, anayeabudiwa na waislam mbna tofauti na wakristo?Mungu ni mmjoja,wote tunamwabudu.huyohuyo,sema tu tumegawanyika kiitikadi,Mungu yupo na uweza wake ni mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja wake ni upi, anayeabudiwa na waislam mbna tofauti na wakristo?Mungu ni mmjoja,wote tunamwabudu.huyohuyo,sema tu tumegawanyika kiitikadi,Mungu yupo na uweza wake ni mkuu
Pengine tuanzie hapo Yesu Ni Neno La Mungu(Neno Linaumba ), Yesu Ni Roho Wa Mungu, Yesu ni Masia, Yesu Ni Mkombozi. Yesu atakuja kuhukumu wazima na wafu. Huko vijiweni mnapodanganyana wakisikia haya watajua unaelekea wapi.Kwa tafsir yako hii inamaanisha nini?
Kwamba yesu ni Mungu au Malaika?
Teh teh..Hizo fikra zinafaa huko kwa watu kila kitu "...nasikia,nasikia...". ukiwauliza umesikia wapi?Nimeambia na ....msomi aliyekubuhu sijui aliyebobea?Huko kubobea umepimaje?Wanaanza vita. Wewe kwa akili yako wakristu wanaokiri na kumshuhudia Kristu wanamkufuru?Itakuweje kwa wale wanaopoteza hadi uhai ili kumfunika na kumtoa ktk maisha ya binadamu? Pole.Kuna watu wameshamchagua shetani, wanalala na kuamka ktk levi wake.Ni ngumu sana kuwa watu wa maana. Ghaddafi is gone kwa style ya maneno aliyoongea UGANDA, Saddam is gone kwa Style ya babu yake, aliyejisifu kuwa aliwatawala wayahudi naye atafanya hivyo. Hitler nae kaondoka vibaya, km alivyokashifu Ukristu kuwa ni dini nyanya sana ktk vita.Bora ya watu duni waliofanikiwa kutawala dunia kwa vita.hivi kuna watu wanaomkashifu yesu kuzidi wakristo na wayahudi?..hivi we jamaa intanet unaitumia kuingia jf peke,maana ni kama vile hujui hasa what is going on.maandiko ya wakristo kwa mamilioni yapo online yanamkashifu yesu,kuna hadi picha zinamwonyesha yesu as a gay,zote source ni huko kwa nduguzo wazungu.kuna mabilioni ya article we google,lakini huwezi ona site toka kwa waislamu ikimpaint yesu kwa dharau.
Unajua talmud ya wayahudi inasema nini kuhusu yesu?..GOOGLE
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Yaan unaogopa kufa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ngoja nifute kauli kabla Sir God hajamwelekeza ziraili pande hizi.
Nimekosa mimi, nimekosa mimi Nimekosa sana. Ee Mungu nihurumie na unisamehe.
Amina.
Sio nkuishi milele bali sema waliobarikiwa utawaona ni wengi sana.Mtoa mada;
Ingekua fair ungeleta pia na wale waliomsifia Mungu Wakapata kuishi milele.
Hivi JF imeanza upotoshaji muda mrefu tu..... Kuna story hapo nimejaribu kuzifanyia uhakiki.1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Ubishi kama huu ndo unawarahisishia wapinga uwepo Wangu,yaan kila mtu ana Mungu wake....[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama mungu wako alikufa na akatundikwa na nepi ili nyie msiwe na dhambi unashangaa binadamu kufa akipigania haki za wengine.
Mbona uko mbio sana,hebu tulia elezea taratibu yuko wapMungu yupo jamani period