Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Je, dogo aliyemkufuru Allah kwa kukojolea Quoran amekufa? Kiranga kila leo anasema hakuna Mungu! Kwa hiyo kwa mjibu wako wewe mwandishi nini kitamtokea? CC: everlenk, Pasco, Samaritan, Lady niece, faizfoxy, Eiyer, LORDVILLE

Nimeanza kusema hivyo tangu niko 17.

Now I'm pushing forty.

Still balling. Never falling. Rolling. Haters appalling

Wakati walokole kibao nimekua nao nawajua wamekufa hata 30 hawajafikisha.

Tell them to stop the bull.shit.

Like Keynes said, in the long run we are all dead.

So why the fearmongering?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Je, dogo aliyemkufuru Allah kwa kukojolea Quoran amekufa? Kiranga kila leo anasema hakuna Mungu! Kwa hiyo kwa mjibu wako wewe mwandishi nini kitamtokea? CC: everlenk, Pasco, Samaritan, Lady niece, faizfoxy, Eiyer, LORDVILLE

1. Naamini katika uwepo wa Mungu muumba mbingu na nchi licha ya maswali mengi niliyonayo! Nnachoweza kusema kuhusu hii habari ya watu waliomkufuru Mungu na kufa, licha ya kwamba inavutia sidhani kama ni kigezo chenye uzito kinachoweza kutumika kuonyesha mtu akimkufuru Mungu anakufa. Kuna watu wamemkufuru na wamekufa softly, kuna watu hawajamkufuru na wamekufa vibaya kuliko hata hao waliotajwa kwenye hii habari.


2. Kwa imani yangu, siwezi kumchukulia hatua, kumchukia au kumshitaki mtu atakeichezea Biblia takatifu, chenye umuhimu ni nguvu ya maneno yaliyopo kwenye hiyo Biblia. Mungu wangu hapunguziwi uwezo au nguvu yake kwa mtu kuchezea Biblia.

3. Kabla ya kuwepo Biblia, bado watu walimwamini mungu na aliongea nao kwa njia tofautitofauti. Biblia takatifu ni mojawapo kati ya njia nyingi Mungu anazotumia kuwasiliana na wanaomwamini na wasio mwamini pia. sio njia pekee.

4. Ukristo ni wa wakristo, walioamua kumwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao, kama mtu sio mkristo hawezi kuyaelewa mambo ya kikristo! Ndio maana hutanisikia nikijaribu kujadili/kuhoji au kuongelea sana uislam kwa sababu mimi sio muislam na sijui chochote. huenda hata kile kidogo nnachokielewa kuhusu uislamu hakipo sahihi na kwa kuwa nimekisikia tu, siwezi kuja hapa na kuanza kujadili uislamu bila kupata elimu ya kutosha kuhusu uislam ya kutosha kuhusu uislamu.
 
Je, dogo aliyemkufuru Allah kwa kukojolea Quoran amekufa? Kiranga kila leo anasema hakuna Mungu! Kwa hiyo kwa mjibu wako wewe mwandishi nini kitamtokea? CC: everlenk, Pasco, Samaritan, Lady niece, faizfoxy, Eiyer, LORDVILLE

I'm chilling in the shade like a Caesar, listening to Sade munching pizza
Planning on vacating, Ibiza, Haagen-Dazs in the freezer
While these geezers, are chained with gospels full of Jesus
Politrickin, cheap, Tambwe Hizza, flow dry like Sinza
I'm Solid as a rock like Sizzla, professorial pipe, no rizzla
This's just a teaser, to touch the full saga you need a visa
Godless Kiranga Grand Vizier, getting busier and busier
Wisdom from the pyramids of Gizzah, take off the fake fezzier
 

Kiranga kuna siku utakuja hapa na kututangazia kwamba umemwamini Yesu kwamba ni Mungu na alikufa kwa ajili ya wokovu wako! Wait and see.

CC: everlenk, Eiyer, Samaritan, warumi, Lady niece, Pasco na wengineo.
 
Last edited by a moderator:
Du!, watu wanashuka na mistari yenye vina!, hiki ni kipaji!,
kumbe mzee una kipaji cha kuzama na vina, kama usingetoka hivyo ulivyotoka, hata kwenye Bongo Fleva, ungetoka!.

Hiko kitisho cha kufa, sio kitisho kitu kwa sababu kila mtu atakufa anyway, hivyo whoever anayekufa, for whatever reasons, ilikuwa afe hivyo hivyo, ndio siku yake!.

Pasco
 
Sio uheshimu hata uchafu................inabidi umfundishe njia ya kweli naye aijue kweli

so ndo kusema unamapenz ya dhat sana kumfanya acipotee kwa kumfundsha njia ya kweli!? ni unafk mkubwa hujui kama unatumika kusambaza iman yako kwa maslah ya wengne!?
 
Nilimwamini Yesu kama mwokozi wa maisha yangu 1982!

Na hapo ndio wengi tunachanganya, mambo ya imani/wokovu ni individual na personal. Ndio maana Thomaso alitaka athibitishe kwa kumshika Yesu aone kama ni kweli licha ya wanafunzi wengine kuwa tayari walikwisha amini kwamba yule waliekua wanamuona ni Yesu.

Na kila siku nasema kufahamu imani yako inasimamia nini ni jambo la muhimu sana, mambo ya mkumbo yanatuponza.
Kwangu nikipata changamoto za watu wasioamini uwepo wa Mungu nafurahia kwa sababu sio kazi yangu kumtetea, ajiteteee mwenyewe. Ila inanifanya nifuatilie vizuri kuona kama imani yangu misingi yake ni imara kiasi gani.

Sioni haja ya kumchukia, kumtukana, kumgombeza yeyote asiyeamini uwepo wa Mungu, kwa sababu hata hiyo nayo ni imani kama nnavyoamini mimi.
 

Unanikumbusha Oliver Cromwell alivyosema kwamba wasioamini kuwepo kwa mungu na kubisha kwa pointi zao wanawasaidia waumini wa kweli kuimarisha imani zao.

Maana yake, kama mtu unaamini mungu halafu unapita kwenye tanuru la maswali ya Kiranga, na kuona kabisa kwamba logically speaking, god (at least in the Judeo-Christian cosmogony) is a bunch of malarkey, inconsistent malarkey at that, halafu ukaendelea kumuamini mungu tu, utakuwa umeimarisha imani yako.
 

Oliver Cromwell alikua wa aina yake, ila kwa upande wangu nilichokua namaanisha ni kwamba, kama mtu anahoji au kuuliza kuhusu imani ya uwepo wa Mungu, sioni tatizo kati yangu na huyo mtu.Chamsingi ni mimi kuiangalia imani yangu na kuipima kwa mapana zaidi kujua je ni bunch of malarkey? Baada ya hapo unafanya maamuzi yanayoeleweka.

Hii inamaanisha kwamba, kama nitagundua habari za Mungu ni bunch of malarkey naachana nazo na kufuata utaratibu mwingine. Na kama sio, imani itaimarika kwa sababu ni lazima kwanza niwe na imani na ufahamu wa kitu nnachokiamini.

Kwa sasa ni mapema sana kuja na hitimisho la "bunch of malarkey". Vile vile bunch of malarkey ina maana tofauti kwa watu tofauti.

Ila naomba niseme wazi huwa najifunza vitu vingi kupitia hoja zako na michango yako.
 

You are far too kind.

You articulated the same nugget posited by Cromwell, independently.

Ukisubiri 100% evidence ( more certainty than evidence) kwamba mungu hayupo, hata kama hayupo kweli, huwezi kuipata hiyo 100% certainty.

Ndiyo maana inabidi uchukue msingi sehemu fulani na kuufanya msingi huo kama your so called "litmus test". Na kuangalia convergence. Neno hili nalirudia kwa msisitizo, convergence.

Kwangu mimi msingi huu ni "self contradiction".

Mungu ambaye ni epitomy of justice, truth, integrity, consistency etc hawezi kuwa self contradicting.

Huyu Judeo-Christian god ni self contradicting.

Hivyo, ama hayupo, ama.yupo lakini hana sifa zote anazopeea.

Kwa sababu sifa zenyewe zinaji contradict kama nilivyo argue mara alfu kidogo hapa.
 

Ndugu yako msimamo umesimama kama wako, hii imesababisha mpaka wapuuzi kunivunjia heshima eti mimi Kiranga ni bwana wangu, makubwa haya lakini hao hao utawakuta wanashindwa challenge wanapoambiwa Mungu na Allah ni vitu viwili tofauti na Yesu siyo Issa.

Nitaendelea kuzipenda changamoto za Kiranga huku nikibaki kuamini kile ninachoamini kama mapokeo tu.

Watu mpaka leo wanashindwa kujibu hoja za Kiranga wanabaki kupayuka tu hawana tofauti na waliotuaminisha mlima Kilimanjaro ulikugunduliwa na mzungu that's means wachaga hawakuwepo au wote walikuwa vipofu.
 
Last edited by a moderator:

Kila siku nawapa maswali, sipati majibu.

Jana nimewauliza, kwa waliosoma biblia, wanajua habari ya Yesu kuulani mti wa tini ambao ulikuwa haujazaa matunda.

Kwamba haufai, kwa sababu hauna mazao.

Nikawauliza, kama uwezo wa kuzaa unatolewa kwa rehema za mungu, na mungu hajaupa huu mti rehema zake.uzae matunda, kuulaumu huu mti kwa vile mungu hajaona sawa kuupa rehema ya kuzaa ni haki?

Isn't this what the English call "blaming the victim"?

Sijapewa jibu mpaka sasa.

Muafrika akiwa na utamaduni wa kumnyanyasa mke kwa sababu mke hajapata mtoto katika ndoa anaitwa mshenzi.

Yesu akiulaani mti wa tini kwa sababu haujazaa matunda anaonekana mwanafalsafa wa juu sana na mwokozi wa wanadamu.

What's the difference?
 
Last edited by a moderator:

Na kuna mwingine anaitwa messenger of Allah ambaye aliongoza uporaji na mauwaji na kuoa vibinti under age hapo huwezi kupewa majibu na both side za wafia dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…