Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Mkuu achana na utunzi wa vitabu na criticism zisizokua na maana,thread inaelezea ukuu na uwepo wa Mungu,naamini hata wewe katika dini yako unamwamini Mungu,

tatizo liko wapi..mimi nimesema hakuna kitu kama hicho acheni kudanganya watu.. kwa vitabu vyenu..
hivyo vitisho vilivyowekwa hapo juu..ni wazi kwmba hivyo vifo vinasababu za kisayansi sio hayo mambo ya kubuni na kufikirika..
 
  • Msizidi kunena kwa kutakabari hivyo; Majivuno yasitoke vinywani mwenu; Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa maarifa, Na matendo hupimwa na yeye kwa mizani. - I Samweli 2:3
  • Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu; Bali hekima hukaa na wanyenyekevu. -
    Mithali 11:2
  • Kiburi huleta mashindano tu; Bali hekima hukaa nao wanaoshauriana. -
    Mithali 13:10
  • Bwana ataing'oa nyumba ya mwenye kiburi; Bali atauthibitisha mpaka wa mjane. - Mithali 15:25
  • Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha Bwana Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima. -
    Mithali 22:4
  • Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa. - Mithali 29:23
  • Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke.
    I Wakorintho 10:12
  • Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo. - Wagalatia 3:12
  • Jidhilini mbele za Bwana, naye atawakuza. - Yakobo 4:10
  • Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa. - Luka 14:11
  • Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. - Wagalatia 5:22,23
  • Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; - Wafilipi 2:3-5
  • Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa Bwana; Hakika, hatakosa adhabu. - Mithali 16:5
  • Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
    Mithali 16:18
  • Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti. - Mithali 16:25
  • Kabla ya uharibifu moyo wa mwanadamu hujivuna; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu. - Mithali 18:12
  • Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. -Yakobo 4:6
  • Wenye upole atawaongoza katika hukumu, Wenye upole atawafundisha njia yake. -
    Zaburi 25:9
  • Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema. Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake; huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu. - 1 Petro 5:5-7
  • Mfalme wa Israeli akajibu, akasema, Mwambieni, Avaaye asijisifu kama avuaye. -
    I Wafalme 20:11b
  • Maana mkono wangu ndio uliofanya hivi vyote, vitu hivi vyote vikapata kutokea, asema Bwana; lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu. - Isay
 
Anayesema hakuna Mungu awahishwe Milembe Dodoma, mfano mdogo tu, ukikabwa na jinamizi usiku alafu usiseme maneno ya Mungu ataendelea kuja tena mpaka kunakucha..ila ukigusia maneno ya Mungu na haswa utaje jina la Yesu hakuna kinachotokea tena..
Ila nibora kuamini na kutenda mema ili ukimkuta isiwe hasara kwako, kuliko usiamini na ukamkuta hakuna nafasi tena ya kuamini..
ASIKIAYE NA AFAHAMU
 
audio Biblia - Audio Bible - Agano Jipya - New Testament / Agano la kale - Old Testament - MP3 files - Zaburi

CLICK ZABURI 14:1
 

Umeisoma Katiba ya CCM?
 

Mkuu Jile79 Hapa ndipo wakristo mnapotuchanganya..

Yesu ni Mungu?
au
Mwana wa Mungu?

Ama Mtume?

Naomba majibu Mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Mungu hadhihakiwi!
Hata hivyo,post hii ni uzushi,na imethibitika wote hapo juu walikufa vifo vya kawaida!
Baadhi walikuwa na HIV,wengine[kwa mfano huyo binti wa Brazil] hakuna ushahidi popote kuwa kumewahi tokea ajali ya aina hiyo.

CLICK LINK hii:

Beware: Men Who Mocked God - Religion - Nairaland

Halafu msome Lagerwhenindoubt,
kaweka links za sababu za kifo cha kila mmoja hapo.
 

Una fikra fupi kama vipimo vya Chupi.
 
Isaya 40:22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia,.... Sasa sijui kama umeandika ukijua hili au umeandika kutokana na chuki binafsi. Binafsi nimefuatilia wale wote wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu, wengi walipata matatizo ambayo ni mazito na kutokana na kuwaza juu ya matatizo yao, wakaona katika mawazo yao kuwa kama Mungu angekuwepo asingeruhusu wakapata hayo matatizo. Kuthibitisha hili, rejea historia ya bwana Charles Darwin.
 

Ha ha ha! kuna watu mna confidence..hongera sana!
 


Mkuu salama?

Ule Uzi ulifungwa siku ile!

Dhana ya Dunia Kua duara hao wavumbuzi waliitoa ktk maandiko!
 

Umemsahau mmoja, yule jaaa wa galilaya aliyejiita yeye ni mungu akaishia kutandikwa na kuwambwa msalabani na watu aliowaumba!!!!
 
.......
 

Attachments

  • 1394192036653.jpg
    77.6 KB · Views: 181
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…