Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Watu 300 walikuwa kwenye coaster ngapi?Salama!
Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na kuwaamuru watoke na waondoe vitu vyao ili wabomoe.
Kuna mama mmoja anasema mpaka kanga yake aliyokua amevaa iliachika kwenye purukushani na wabomoaji ambao hawakufuata utaratibu na walivamia usiku na hawakutaka kumsikiliza yeyote.
Niliona taarifa kwamba Kuna uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha tatizo lakini sijaona suluhisho naombeni sana serikali kufuatilia jambo hili ili wananchi wale waendelee kufurahia matunda ya nchi yao.
Viongozi wa mkoa wilaya na kata wenye dhamana ya serikali acheni uzembe fanyeni kazi tatueni migogoro ya wananchi kwenye maeneo yenu.
Watu 300 walikuwa kwenye coaster Habari ilirushwa na miradi Ayo kaangalie Yotube
Habari alirusha ayo tv kaangalie YotubeSehemu gani ya pwani?!
Binafsi sijasikia hiyo taarifa link please
Hawa jamaa hawakomi
Kuna wale mabamsa walioamuliwa wakabomoe nyumba za raia kulee tegeta kwa amri ya muwekezaji bila kufata sheria.. wakauliwa kama kuku raia walichoka kudhulumiwa wakaanza kuwakata mapanga mabamsa, walionusulika walikimbia mbio ndefu
Serikali inatakiwa iweke sheria kali kuhusu mabamsa wanaotumwa na watumie polisi kwa amri ya serikali ili wajue kama sheria inatumika
Sehemu gani ya pwani?!
Binafsi sijasikia hiyo taarifa link please
Duuuh!!!
Umesikia hayo mambo chiefDuuuh!!!
Kweli taarifa ibapaswa tolewa
Wafurahie matunda ya nchi yao wakiwa sehemu zao, lile eneo sio lao na wanalazimisha kuuziwa.Salama!
Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na kuwaamuru watoke na waondoe vitu vyao ili wabomoe.
Kuna mama mmoja anasema mpaka kanga yake aliyokua amevaa iliachika kwenye purukushani na wabomoaji ambao hawakufuata utaratibu na walivamia usiku na hawakutaka kumsikiliza yeyote.
Niliona taarifa kwamba Kuna uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha tatizo lakini sijaona suluhisho naombeni sana serikali kufuatilia jambo hili ili wananchi wale waendelee kufurahia matunda ya nchi yao.
Viongozi wa mkoa wilaya na kata wenye dhamana ya serikali acheni uzembe fanyeni kazi tatueni migogoro ya wananchi kwenye maeneo yenu.
KibahaSehemu gani ya pwani?!
Binafsi sijasikia hiyo taarifa link please
Kibaha kuna migogoro sana. Why?Kibaha
HatariUmesikia hayo mambo chief