Watu waliozidi uongo humu JF

Watu waliozidi uongo humu JF

Ole wake atakaye mtaja tycoon Billy Lugano / Kiduku Lilo, narudia, ole wake.
 
Mleta mada we mwenyewe chenga tu
JamiiForums107413090.jpg
 
Hapo kwa man biznes nakuunga mkono jamaa ni muongo ile mbaya alafu unakuta siku I kafungua nyuzi nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Looo! Mbona hizi siku mbili tatu nimepumzika wakuu? Na ninampango wa kumaliza mwezi bila kuanzisha uzi!

Lakini nyuzi zangu zote ni za kweli! Sema matukio mengine yanakuwa ni yale yaliyonitokea zamani, sema nayabadili kuwa wakati uliopo! Lakini yote ni kweli!

Ngojea niwaite cocastic na to yeye waje wanitetee!
[emoji23]
 
Wamekuonea sana Kwa kweli🤣
 
wakuuuu habarini sana....

Lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya watu hao kila mmoja ana hulka yake binafsi kama uongo, ujinga, usiriaz, uchekeshaji n.k...................!!!

Binafsi kwa mimi humu jf nimepitia baadhi ya nyuzi humu za waandishi mbalimbali nikagundua kua watu ni waongo kama mpwayungu village jamaa amezidi uongo, nyuzi zake zote ni uongo mtupu

Pia kuna ule wa kula kimasihara, mule watu ni waongo sana, kama ni kwel wanayoyaandika basi mbinguni hawatoenda,

Kama unamjua yoyote aliezid uongo humu embu mshushe hapo chini tumjue

Wasalaaam wapendwa..................!!!!!!
Sehemu ipi niliandikaga uongo mkuu
 
Back
Top Bottom