Mwambie mwambie mwambieKujinadi unapenda mbususu kumbe hata uume huna
Ha ha haa,jamanMwambie mwambie mwambie
HahahahaHuyu kamaliza degree zote. Sijui tuseme Ana PhD
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwa man biznes nakuunga mkono jamaa ni muongo ile mbaya alafu unakuta siku I kafungua nyuzi nyingi
Huyo hana PhD mkuu, nayo kamaliza alisema hii dunia hakuna wa kumwajili.Huyu kamaliza degree zote. Sijui tuseme Ana PhD
Wamekuonea sana Kwa kweliπ€£[emoji23][emoji23][emoji23]
Looo! Mbona hizi siku mbili tatu nimepumzika wakuu? Na ninampango wa kumaliza mwezi bila kuanzisha uzi!
Lakini nyuzi zangu zote ni za kweli! Sema matukio mengine yanakuwa ni yale yaliyonitokea zamani, sema nayabadili kuwa wakati uliopo! Lakini yote ni kweli!
Ngojea niwaite cocastic na to yeye waje wanitetee!
[emoji23]
Unatafuta ugomvi[emoji28][emoji28][emoji28]Kujinadi unapenda mbususu kumbe hata uume huna
πππππTTCL Customer Care & TANESCO hawa hata shetani anasubiri
Wadhibitishe uongo ganiMpaka muda huu anaeongoza kwa kutajwa Mara nyingi kwenye huu uzi ni mpwayungu village ww jamaa jitathimini aiseee
Sehemu ipi niliandikaga uongo mkuuwakuuuu habarini sana....
Lengo la uzi huu ni kuwataja watu waliozidi kwa chai humu. kama tujuavyo mitandaoni ni sehemu ambayo watu mbalimbali hukutana kutoka sehem tofauti tofauti na kati ya watu hao kila mmoja ana hulka yake binafsi kama uongo, ujinga, usiriaz, uchekeshaji n.k...................!!!
Binafsi kwa mimi humu jf nimepitia baadhi ya nyuzi humu za waandishi mbalimbali nikagundua kua watu ni waongo kama mpwayungu village jamaa amezidi uongo, nyuzi zake zote ni uongo mtupu
Pia kuna ule wa kula kimasihara, mule watu ni waongo sana, kama ni kwel wanayoyaandika basi mbinguni hawatoenda,
Kama unamjua yoyote aliezid uongo humu embu mshushe hapo chini tumjue
Wasalaaam wapendwa..................!!!!!!