Kwa kifupi ni kwamba afisa huyo inaonekana hizo pesa tajwa yeye ni moja kati ya maaskari wa polisi wanaoshukiwa kuziiba. Pesa hizo zilitokana na michango waliyokuwa wakichangishwa askari poli kiasi cha shilingi 5,000/=kwa kila polisi kila mwezi (hakuna maelezo ya ni kwanini walikuwa wanachangishwa pesa hizo kwenye gazeti hilo)
Maelezo mengine ni kwamba polisi huyo inaaminika amekimbilia SA baada ya kusikia ripoti ya kichele kuhusu upotevu wa pesa hizo wakati akitoa taarifa kama mkaguzi mkuu wa serikali siku ya jumatano.
Gazeti pia limeandika jamaa alipata taarifa hizo wakati akiwa chuo cha polisi moshi akisomea au akichukua mafunzo ya polisi kwa cheo cha ASP ambapo huchukua miezi sita. Mpaka hapo nadhaninkidogo nmeeleweka mkuu!!! Japo gazeti lenyewe ni kingereza