PostGE2025 Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ili ccm itoke madarakan lazima watanzania wakimbie huku wanawakanya maiti za watanzania wenzao "zito kabwe 2010"
 
Yaani vyombo vilichukulia tarehe 29 kuwa watanzania watakuwa wastaarabu hawkujiandaaa kuchapa watu sawa sawa , sasahivi tumeshajua tuna vichaaa majambazi, machizi na maharamia kwa hiyo hata kabla hazijaaanza watu watakula shaba za kutosha sana, Watanzania tujiandae tu kuzaaa sana maana kuna vijana wataacha nafasi ya kula nafaka karibuni ahaaa ahaaaaaa
 
Unaogopa kufa?sasa unataka ukae miaka mingi ili iweje?
 
Vitega uchumi havina bima?
 
Hiyo siku jiandae kuysshuhudia usiyo yatarajia.

Nikutonye tu ,tarehe 09 December 2025 tafadhali usipange kukosa.

Hiyo show itakuwa tamu hujawahi kuiexperience.

Bro 🀣 wenzako hasa wenyewe tayari taarifa zishawafikia huko , kama huna taarifa wenda hata muhusika hiyo tarehe anaweza asifike .

Ashafikiwa na ninyi mtafikiwa hiyo ni ahadi ya uaminifu .
 
Hivi kati ya mange na muhammad yupi kituko ?
yaani Mange anawashauri mkaandamane mkachome mali za watu na nyie mnashabikia kabisa, yeye mwenyewe yupo sehemu salama aliogopa hakwenda ila mangombe sasa yanachochewa yanaingia mkenge bila hata kupima , anasamabaza uongo wa chuki mnaukubali aisee huwa nacheka mpka napaliwa, eti anaongea na wanajeshi endeleeni tu kuandmana mnaichukua ikulu leo leo endeleni tu mnaichukua ikulu mangombe yakaendelea kuuliwa tu mara ohh jeshi wana bunduk tu hawana risasi ahaaaa ahaaaaa MA NGOMBE YETU BANA
 
Neno moja kuu kwako , nakuombea usife kabla ya 09 December 2025

Kitakachotokea hutaamini


tunza hii msg
 
Karibuni mbona tumeshaanza kujiandaaa kumwaga maubongo haturudii kosa la tarehe 29, yaani mapema tu shaba, ndugu Ruto aliwadekeza wakenya wakamshika makalio alipotangaza tu piga risasi mpaka leo hakuna mandamano ya kifala fala tena kenya na TZ mama malaini sana alichelewa kutoa amri Angekuwa yule mwendazake MAMAAAAE ENEHEEE ENHEEEEEEEEE YAANI TAREHE 29 TU saa 10 kazi ingekuwa imeisha watu chaliiiiii
 
Neno moja kuu kwako , nakuombea usife kabla ya 09 December 2025

Kitakachotokea hutaamini


tunza hii msg
sawa cris na uzuri ofisi yangu ipo barabarani kwenye nyomi ya watu kwa hiyo huwa naona show live
 
Neno moja kuu kwako , nakuombea usife kabla ya 09 December 2025

Kitakachotokea hutaamini


tunza hii msg
Tunduma mbalizi na Uyole nilipo kuna wababe na watemi sana kwa kanda ya nyanda za juu kusini lakini wameisoma number kweli kweli
 
Jiandae kuondoka Tanganyika.
 
Tunduma mbalizi na Uyole nilipo kuna wababe na watemi sana kwa kanda ya nyanda za juu kusini lakini wameisoma number kweli kweli
Sina neno la ziada zaidi ya kukuombea uhai tuione tar 09 December.

Ya tarehe 29 October hakuna raia aliyekuwa amejiandaa kuwa serikali yao itafikia hatua ya kuwaua kama kuku .

Ukitaka sasa uielewe Tanzania we subiria tarehe 09.

Utaihirumia CCM
 
Kwani hao CCM wapo wangapi mkuu wangu? we tuliza kitenesi .
 
Sina neno la ziada zaidi ya kukuombea uhai tuione tar 09 December.

Ya tarehe 29 October hakuna raia aliyekuwa amejiandaa kuwa serikali yao itafikia hatua ya kuwaua kama kuku .

Ukitaka sasa uielewe Tanzania we subiria tarehe 09.

Utaihirumia CCM
ahaaa ahaaa MANGE ANASEMAJE ? jeshi limesharuhusiwa kuwa na risasi sasahivi? mbona kama mnajiamnini sana this time ahaaaa mungu atatuweka hai tu relax
 
tumeacha kuchochea mauaji tunarudi kwenye uzanzibari na unzanzibara tutakuja udini , tujadilini namna ya kubadili katiba ndo mwarobaini sio maandamano na chuki
Unadhani hatujui Wazanzibari mlivyokuja kutuua Watanganyika mkishirikiana na Waganda na Wamsumbiji?

Endeleeni kudhani tunatania ila kitakachowapata mtaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…