SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Jamaa uvumilivu ulimshinda, binti huenda alimpa maneno ya kuudhi akaamua amfinye mdomo na masikio.
 
Kitendo cha kutoa sauti tuu ilitosha kuonyesha hapo sio Tz, mana tungejua lugha wanayotumia
 
Siyo kweli nini wakati tumeona, huyo mwanaume anaitwaje ? Is he a government employee?
 
Hivi JF mnawafanya nini watu wanaopotosha kama huyu aliyeleta hii Clip na kudai ni ya Madaktari hapa TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…