Watu wameumia sana rohoni Mbowe kuonekana Dodoma ufunguzi wa Dira 2050 na kukosa mahakamani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake.

1. Anagombea Urais Chaumma

2. Atapewa ubunge katika viti 10 vya Rais na kuwa Kiongozi wakambi ya upinzani

3. Chauma watapewa viti kuweza kuwa chama cha upinzani

4. Amewauza waliofia kuitetea Chadema...Ben, Soka,Mdude, na wengi wengi wengi

5. ................................................kila mmoja anasema lake

Lakini wenye kuona mbali tulisema: haya matusi/kejeli/ etc na lugha iliyokuwa inatumika kwenye kambi ya lisu and vice versa kwenye kampeni za uchaguzi hayataiacha chadema salama. And here we are

The way forward: MBOWE UNA "DNA" YAKO KWENYE CHADEMA , SAMEHE NA SAHAU ....FORGIVE AND FORGET!!
 
Agent wa ccm huyo hana na hajawahi kua na vinasaba vya upinzani
 
Tapeli la siasa hilo vijana ndio mpate akili muache kutumika hovyo na wanasiasa wanasiasa Wana watumia then wakifanikisha malengo Yao Wana wa- dump like toilet paper
utamjuaje tapeli? Na Lisu can be a tapeli. Time, circumstances, environment, needs etc will determine what is good and what is bad
 
Huyo tayari amesha jidhihirisha hata hivyo Kwa Upande wangu Mimi Huwa siwaamini wanasiasa haswaa Hawa wa Africa
 
Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake.

1. Anagombea Urais Chaumma

2. Atapewa ubunge katika viti 10 vya Rais na kuwa Kiongozi wakambi ya upinzani

3. Chauma watapewa viti kuweza kuwa chama cha upinzani

4. Amewauza waliofia kuitetea Chadema...Ben, Soka,Mdude, na wengi wengi wengi

5. ................................................kila mmoja anasema lake

Lakini wenye kuona mbali tulisema: haya matusi/kejeli/ etc na lugha iliyokuwa inatumika kwenye kambi ya lisu and vice versa kwenye kampeni za uchaguzi hayataiacha chadema salama. And here we are

The way forward: MBOWE UNA "DNA" YAKO KWENYE CHADEMA , SAMEHE NA SAHAU ....FORGIVE AND FORGET!!
Na bado siku akihamia Chauma mtaumia mfe. Tunahitaji utulivu wa nchi.
 
KAbisa watu wanaumia na mambo ya watu??
 
Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake.

1. Anagombea Urais Chaumma

2. Atapewa ubunge katika viti 10 vya Rais na kuwa Kiongozi wakambi ya upinzani

3. Chauma watapewa viti kuweza kuwa chama cha upinzani

4. Amewauza waliofia kuitetea Chadema...Ben, Soka,Mdude, na wengi wengi wengi

5. ................................................kila mmoja anasema lake

Lakini wenye kuona mbali tulisema: haya matusi/kejeli/ etc na lugha iliyokuwa inatumika kwenye kambi ya lisu and vice versa kwenye kampeni za uchaguzi hayataiacha chadema salama. And here we are

The way forward: MBOWE UNA "DNA" YAKO KWENYE CHADEMA , SAMEHE NA SAHAU ....FORGIVE AND FORGET!!
Chezea Chadomo wewe!!
 
Uliosema Ni Ukweli Mtupu Kwa Zile Kashfa Et Walitarajia Bado Waendelee Kumburuza Huko CHADOMO, yeye ni binadam kama wengne lazm aumie kwa maneno hata kama kakaa kimya
 
Back
Top Bottom