HERODE WA TANZANIA
Member
- May 21, 2016
- 74
- 46
Ungetupia na kapicha QUOTE] inakuja mkuu usijal
Hahaaa kama namuona vile alivopigwa pasi akaambaa ambaa utazani shuti la Ronaldo lililoenda nje ya goriJamaa mmoja kagoma kupisha ambulance, dereva anapiga kelele atoke barabarani jamaa anajibu ebu zima dude lako Usinisumbue😛😛😛😀
Juzi kati napo kuna jamaa nae alikua anatembea njiani mwenye gar kampigia mi honi jamaa aka kaa kabisa chini na njia ni ndogo ili bidi mwenye gari ashuke aje amuombe jamaa ampishe😀😛😛😛😛
weka na wewe kituko ambacho umewahi kukishuhudia au kukisikia
💂💂💂Mkumbuke kuweka skar jmn
Hahaha njaa mbaya sanaAskari akikusimamisha kama gari ni ya abiria yeye huongeaga na dereva/kondakta mbali na abiriaa🤣🤣🤣
Ndiyo uwe makini sasanko barabaran nasoma uzi wako.
wakati anaweza kuweka kwenye beseni akakaosha bila tabu[emoji23][emoji23][emoji23]Wenye Vitz zao nao wanasumbua barabarani, eti nao hupeleka vigari vyao Car wash🤣🤣🤣