HERODE WA TANZANIA
Member
- May 21, 2016
- 74
- 46
Jamaa mmoja kagoma kupisha ambulance, dereva anapiga kelele atoke barabarani jamaa anajibu ebu zima dude lako Usinisumbue😛😛😛😀
Juzi kati napo kuna jamaa nae alikua anatembea njiani mwenye gar kampigia mi honi jamaa aka kaa kabisa chini na njia ni ndogo ili bidi mwenye gari ashuke aje amuombe jamaa ampishe😀😛😛😛😛
weka na wewe kituko ambacho umewahi kukishuhudia au kukisikia