Watu wana-act kama vile mitihani ya ndoa haikuwepo toka zamani, hakuna cha ndoa za siku hizi! Ni basi tu teknolojia ndio ime-expose mengi

Watu wana-act kama vile mitihani ya ndoa haikuwepo toka zamani, hakuna cha ndoa za siku hizi! Ni basi tu teknolojia ndio ime-expose mengi

Pamoja na hayo bado siku hizi hayo mambo yapo kwa kiasi kikubwa, vishawishi ni vingi tofauti na zamani.

Na wala sio zamani sana ambapo ilikua ukitoka mtaani huwakuti wanawakd wengi ila sasa hivi utawaona kila pahala na mavazi yao ya mitego.
 
Back
Top Bottom