Watu wana roho mbaya, hawafikishi jina langu. Tutakuja kuonana wabaya

Watu wana roho mbaya, hawafikishi jina langu. Tutakuja kuonana wabaya

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Watu tunapambana huku na kule, tunajikusu tunatoa kwa ari kubwa kusaidia chama na serikali yetu majina yetu hamyapeleki, nimekwazika sana. Sijaona jina langu na pesa zangu mmekula. Watu tunapambana hivi halafu inakuwa ni wale wale tu. Why? Why lakini?

Naandika haya nikiwa naumia sana. Hampeleki majina yetu kwa maza, mnayakalia, endeleeni kuyakalia muone kitakachowapata. Kila siku wanazunguka wale wale tu, sisi je? Huo ni ukorofi.

Ina maana wao ndiyo wapate togwa nzuri sisi tupate machicha? Huo ni ukorofi. Nasisi tunataka kulamba asali sio wao tu. Tunataka tulambe na kulambishana maana sisi mnatufanya kuwa watu wa kuwalamba tu mikono ninyi mkishalamba asali.

Si sawa hata kidogo.
 
Kunywa fanta baridi ushushe jazba mkuu, kisha tafakari huyo katibu wa tawi la mikoroshini atafikishaje jina lako white house
 
Endelea kufanya ulozi ipo siku utakumbukwa
 
Back
Top Bottom