umesahau na nyeto ..Utapewa ushauri wa kila aina Ila mambo yanayomzeesha MTU haraka Sana ni
Stress
Stress
Sigara na bangi
Pombe zinaharibu mfumo wa ndani zaidi maini na figo ,moyo n.k
Pambana uzishinde stress kwanza.
Wanaona kama umekula chumvi nyingi !! Utani tu ndugu yanguKwamba nianze kula vyakula kama watu wenye pressure?
Hapo itabidi nipokee uzee tu 🙌Kama uko na pesa pokea salamu
Kam huna kipato pokea uzee huo
Je pepusi?Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
Uwe unawajibu...Wengine wakinisalimia nakosa hata nguvu za kuitikia maana huenda tumelingana au hata wamenizidi umri 😅
Unashabikia timu gani?Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Tutumie picha mkuu haiwezekani ngozi yako tuu ikalikataa jua hiliNipo dar, hata muda huu nipo road na jua linanipiga balaa
Simba 😂😂Unashabikia timu gani?
HapanaAu una mashavu ya kushuka.
Picha siwezi tuma ila sidhani kama ngozi yangu ina tatzo lolote.Tutumie picha mkuu haiwezekani ngozi yako tuu ikalikataa jua hili
Unakunywa pombe?Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Sante sanaPole sana🤣
Hapana, sijawahi kunywa kabisaUnakunywa pombe?
Sura ya kazi !!!Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Oa sasa mshangazi ili uendelee kuheshimika na vijana wenzio.Sina doa usoni kaka, ngozi yangu ipo vyema kabisa wala sijawahi tumia dawa yoyote ya ngozi
Dah, sasa kaka hapo sindyo nitazidi kuzeeka mapema kabisaOa sasa mshangazi ili uendelee kuheshimika na vijana wenzio.