malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Tatizo manunuzi yakiwa makubwa utakuwa na stock usiyokuwa nayo. VAT unayoidai TRA na VAT ya stock uliyonayo havitalingana.Mtu akitumia TIN yako kununua ni faida kwako, maana inaenda kwenye purchases ambayo purchases hutolewa kabla ya faida kupatikana.
Shida ni kama ataunga TIN yako kupata EFD akawa anatoa Risiti kwa TIN yako...
Ila TRA tayari washaweka utaratibu wa kukagua mashine zilizosajiliwa kwa TIN yako.
Nenda kwenye profile ya Acc yako ya TRA
Hiyo shida yake iko wapi?Tatizo manunuzi yakiwa makubwa utakuwa na stock usiyokuwa nayo. VAT unayoidai TRA na VAT ya stock uliyonayo havitalingana.
Shida yake ipo wakati unataka kufanya manunuzi sababu huna stock huku system inaonyesha una stock. Either utalazimika kuwa na mauzo hewa ambayo yataathiri cost of sales zako na ukigusa cost of sales umegusa faida au itakuwa ni alert kwa TRA Kwanini unamzigo mkubwa ila bado unauongeza wakihisi hutoi risiti. Wakija stoo kukagua unaambiwa umeuza bila risiti sababu system inaonyesha una stock.Hiyo shida yake iko wapi?
Hii ndio TIN yako?
Huyu ni afisa TIN na TRA mwaka 2024. AjayeHii ndio TIN yako?
Mkuu hujaelewa Sasa mtu kaweka tin namba Yako kuwa umefanya manunuzi sehemu flani maana yake itakiathiri ktk baishara Yako kimahesabu wakati hukuwa nauhutaji wamanunuzi kwa wakat huoMtu akitumia TIN yako kununua ni faida kwako, maana inaenda kwenye purchases ambayo purchases hutolewa kabla ya faida kupatikana.
Shida ni kama ataunga TIN yako kupata EFD akawa anatoa Risiti kwa TIN yako...
Ila TRA tayari washaweka utaratibu wa kukagua mashine zilizosajiliwa kwa TIN yako.
Nenda kwenye profile ya Acc yako ya TRA
Ewaaa uko sahihi kabisaTatizo manunuzi yakiwa makubwa utakuwa na stock usiyokuwa nayo. VAT unayoidai TRA na VAT ya stock uliyonayo havitalingana.
Haiwezi kuwa vizir kajibu hapo TSH...
Hiki kitu nilikiuliza Depot moja hapa Dodoma alihitaji Tin number yangu kwa ajili ya mizigo ya sehemu yangu ya biashara na nikampa wasiwasi ambao ulinijia hawezi itumia kwa manunuzi ya watu wengine na athari zake ni zipi sijafatilia hadi leoShida yake ipo wakati unataka kufanya manunuzi sababu huna stock huku system inaonyesha una stock. Either utalazimika kuwa na mauzo hewa ambayo yataathiri cost of sales zako na ukigusa cost of sales umegusa faida au itakuwa ni alert kwa TRA Kwanini unamzigo mkubwa ila bado unauongeza wakihisi hutoi risiti. Wakija stoo kukagua unaambiwa umeuza bila risiti sababu system inaonyesha una stock.
BIASHARA HATA KAMA HUJASOMA UTAKUWA NA AKILI TU.
Sasa si Faida kwako?Tatizo manunuzi yakiwa makubwa utakuwa na stock usiyokuwa nayo. VAT unayoidai TRA na VAT ya stock uliyonayo havitalingana.
Nimeshajibu huko mbele bossSasa si Faida kwako?
Output VAT-Input VAT = -ve