malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wafanya biashara mmeshawahi jiuliza changamoto mnazoweza kumbana nazo ktk huu mfumo mpya ulioboreshwa wa tin kuandika tin ktk manunuzi utakayofanya...tambua baadhi ya watu ambao umewauzia bidhaa wanaweza tumia tin Yako ktk manunuzi yao watakayofanya na ikasoma ktk tin yako