Watu wanajua kutunza aisee

Kwa wale wa Malori nadhani watakua wanaijua, nishawahi kuiona 113 (Scania) namba D kwa kweli nilichochoka
Kuiyona scania namba d sio tatizo huwenda ndio limenunuliwa muda huu ,changamoto ni hiyo gari hapo juu kwa maaana wakati usajili namba A unamalizika hiyo gari ilikuwa haijatengenezwa au tuseme bongo hazikuwepo swali ameipata wapi , namm nilishakutana nalo hilo gari sinzaa jamaa akaniambia umeona hiyo hapo kuna namna
 
Kuna jamaa hapo amesema TISS hao,,,mm nakazia hilo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa hapo amesema TISS hao,,,mm nakazia hilo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwamba TISS inanunua na kutumia magari kama hayo? Hivi nyie watu huwa mnawaza nini? Mnaamini kuwa hawa watu ni so reckless kutumia vitu ambavyo ni suspicious hata kwa mtu wa kawaida tu? Yaani watake kuficha identities zao lakini wanazificha kwa kutumia uficho ambao ni so obvious and suspicious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…