Watu wanakosa pesa kwasababu hawana skill inayouzika na pia hawajui kuuza

Kudos kwako mkuu kwa kupenda kutoa mwanga kwa kitu unachokijua...

Ningeomba pia usijikite zaidi kwenye the "WHAT" ila uzame kwenye the "HOW" maana huko ndo penye pesa na ndo panapohitajika zaidi na wengi huwa hawaigusii.. ..

Mfano
Kutoa thread ya tips unazozitumia kufanya persuasion au sales successfully na pia experience yako katika hiyo field

Ni mawazo tu lakini mkuu

NB
Nakubali unachofanya brother.. stay blessed
 
Please can you share with us those other forum that can help to acquire that's skills

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pengine nikipata time nitaandika kwa uwazi jinsi mbinu nazotumia kuweza kuwa persuasive lakini pia hadi Point ya mwisho mteja anatoa pesa.

Sasa hivi kuna deal ya zaidi ya 680m najaribu kufanikisha ili nipate commission. Ni real estate.

Kama nikifanikiwa hii itakuwa mara yangu ya kwanza ku-close deal kubwa hivi.

Nitapenda niweke hapa uzoefu wangu.

Cheers 🥂
 

Ngoja nifumbe macho nikuombee kwa sekunde chache.. utaipata hiyo brother [emoji123]

Stay blessed
 
Kumekucha mkuu, kwa rehema za Mungu tumeiona siku nyingine na sasa tunaelekea kuikamilisha.

Mkuu tafadhali naomba muda utakaokuwa free tuzungumze japo kwa dakika tano tu. Nakuomba sana mkuu.
 
Kumekucha mkuu, kwa rehema za Mungu tumeiona siku nyingine na sasa tunaelekea kuikamilisha.

Mkuu tafadhali naomba muda utakaokuwa free tuzungumze japo kwa dakika tano tu. Nakuomba sana mkuu.

Mkuu Nitumie ujumbe Whatsapp nikupatie kazi.

Shukrani
 
Asante mkuu.
Ni sahihi yaani kama unajitahid kufikiria na kuwaza kama shule itakutoa basi endelea utakuwa bado saana maana dunia hio imechange sana pamoja na vyeti kuhitajika kama ushajidi wa potentials zako lakin kinachoanza kwanza ni potentialz zako...uwezo wako wakuchange sutuation kweny mazingira ama taasis husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…