Watu wanakwenda University/Chuo ili iwe nini?

Hivi umeshawahi kujiuliza tofauti kati ya zama za kale walizoishi babu zetu na zama hizi za utandawazi tunazoishi sasa..?!

Elimu ni rasilimali apatayo mtu kumsaidia binafsi na kuisaidia jamii yake pia. Pia kuna kazi ambazo huwezi kufanya bila kupitia chuoni mf. MaDaktari.

Pia ukiwa na elimu ya juu uwezo wako wa kupambanua mambo huongezeka pia.!

Pia sio vyema sana kujenga nadharia ya utajiri vs usomi (si kila msomi ni tajiri au kila tajiri ni msomi!!). Au nadharia ya kuwa watu wanasoma ili kuwa matajiri!!
 
Elimu kuu kuliko yote ni elimu ya kujielewa, kuelewa nini wataka fanya, na jinsi gani utafanya kile unachotaka fanya. Ukishajua kuandika na kusoma basi kila kitu unaweza fanya. Tatizo letu ni kuwa we are not imaginative. Tuna knowledge ila hatujui tutaitumia wapi na vipi.
 

I Smell Lies Here.!! Form 6 wamalize mwaka 2014 (last year) leo wawe TMA? hauko peke ako humu JF
 
I Smell Lies Here.!! Form 6 wamalize mwaka 2014 (last year) leo wawe TMA? hauko peke ako humu JF

Hahahahah.. Hivi unajua hao madogo wa kidato cha sita mwaka Jana walipata nafasi ya kujiunga Jw .. Unajua sasa hivi wako wapi!? Sayansi wote daraja la 1-3 waliopenda walipata hili zali mkuu.
 
Hivi unataka watu woote wawe wajasiriamali au wamachinga sio...kwenda chuo na kumaliza kisha kuanza kuuza mitumba au sabuni sio dhambi ni maswala ya kujipanga tu ...watu wote wakiwa na mtazamo kama wako basi hatutokuwa na madaktari, walimu, mahakimu, wakaguzi wa mahesabu, wanasiasa wala mainjinia.
 
Tatizo tume meza kwamba ukitaka mafanikio lazima uwe na degree but not correct.mwingine utakuta uwezo darasan bado ana unga unga tu na kurisit in every year.hii yote inatokana nnchi haina viwanda vya kuajiri vijana wa form 4,form 6..linchi ni la kutoa huduma tu.
 
Hzo ni kauli za mtoa maada ni za watu ambao wameshndwa shule.. braza kuna watu dunia hii selected..i mean kla mtu ana destiny yke.. umemtolea mfano diamond sawa..aya na ww kawe diamond bas..usije kumpeleka mwanao shule tangu utotoni mfundshe aje kuwa kam bakhresa na yey,yaan tunapofeli wabongo apo wanapenda kufanya comparison na watu flan...acha kuleta thread zisizo na kchwa wala miguu..
 
Mkuu nikimpa Laki tatu mtu ambaya ajawahi kusoma shule,mtu wa darasa la saba,mtu wa form four,mtu wa form six,na mtu wa chuo nikawaambia wafungue biashara nadhani upatikanaji wa faida na hata utumiaji wa hzo fedha utakua tofauti saaana.hapo nadhani umeona umuhimu wa kila level ktk elimu.
 

Mkuu tatizo watanzania exchuz nying kama mtu ajui kitu awezi kukubali mfano,mtu hawezi kuzungumza kichina ila ukimuliza why uezi,anakuambia hakinsaidi chochote badala ya kusema sikifahamu,sina maana mtoa mada ajasoma.
 
Hujanielewa...Nimeanza kwa kusema ,si kwamba ninapinga Elimu La! hasha....
(Jambo dogo kama hili washindwa kulielewa,halafu pengine umetoka chuo kikuu ni Aibu si kwako tu.)
 
Sikubaliani na wewe hata kidogoo
Nimeshatolea mfano wa Mch.Stefano Mosha Elimu yake ilikuwa ya form four...lakini alikuwa na maono mpaka akawezesha kujengwa hospitali ya KCMC(moja kati ya hospitali muhimu Tanzania) sasa mbona kulikuwa na wasomi zaidi yake ,Je?walifanya nini?

kama hiyo haitoshi
Mh.Sheikh Abeid Amaan Karume Elimu yake ilikuwa ni darasa la ngapi?
Lakini alikuwa na maono ya kuikomboa Zanzibar na akafanikiwa,Je?wasomi wa kipindi hicho walikuwa wapi?

 
Nimekuelewa sana mkuu. Mimi kuna jamaa yangu tulimaliza kidato cha nne, hakwenda form 6 wala nini ila alijiingiza kwenye ukulima na ufugaji, sasa hivi ana hela za kumtosha tu mpaka juzi majambazi walimvamia.
 

Kaka hao unaowataja ww ni selected people ata IQ zao na ww ni tofaut kabsaa...watu na vipawa vyao...na ni 10 kwa mmoja kuwapata kwnye jamii..
 

Mkuu unaweza usiwe na elimu sana ila ukawatumia wenye elimu kufanya mambo yako apo unazungumzia nguvu ya pesa au appl zake
 
Elimu ni muhimu sana lakini mfumo wetu wa elimu sio mzuri kwa sababu haimruhusu mtu kuwa inovvative.Hauwezi kuwa innovative kama una vitu vingi kichwani USA watoto wa high school hawajui formula wakipewa swali wanaandikiwa formula pembeni wao wanaelewa sana na wanakrem kidogo this allows a student to be immaginative thus creative. Malecture wangapi wenye PHD wamepanga au wanaastafia kwenye nyumba za chuo at the same time mshahara ulikuwa unasoma 3-5 million for a long time. Je vyuo vetu vinaandika journals kama HARVARD BUSSINESS REVIEW ? Lakini at the same time tuna watu waliosomeshwa na Serikali in the best universities in the world.
 
Mleta uzi mim ukinishawshi kwa fact zingne ntakukubalia 100% ila sio ulete fact za kufananisha na mtu flani..
 

Madaktari wa kwanza kabisa walienda shule gani kusomea udakrari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…