Himawari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 2,609
- 1,700
Hivi umeshawahi kujiuliza tofauti kati ya zama za kale walizoishi babu zetu na zama hizi za utandawazi tunazoishi sasa..?!
Elimu ni rasilimali apatayo mtu kumsaidia binafsi na kuisaidia jamii yake pia. Pia kuna kazi ambazo huwezi kufanya bila kupitia chuoni mf. MaDaktari.
Pia ukiwa na elimu ya juu uwezo wako wa kupambanua mambo huongezeka pia.!
Pia sio vyema sana kujenga nadharia ya utajiri vs usomi (si kila msomi ni tajiri au kila tajiri ni msomi!!). Au nadharia ya kuwa watu wanasoma ili kuwa matajiri!!