Watu wanao ongoza kufeli kwenye biashara

Watu wanao ongoza kufeli kwenye biashara

chakudunda

New Member
Joined
Aug 13, 2024
Posts
4
Reaction score
4
Asilimia kubwa ya biashara zinazokufa ni za wale watu ambao wanaomba mawazo mfano nna milioni Moja na laki tano nifanye biashara gani ?

Hizi biashara huwa hazichukui mda mrefu kwasababu mtu anafanya biashara ambayo Hana uzoefu nayo na sio Kila biashara Ina inauzika Kila sehem

UNAWEZA TUMIA NJIA ZIFUATAZO KUJUA BIASHARA YA KUFANYA SEHEM ULIYOPO.
1. IGA angalia biashara inayouzika sehemu fulani uko kwenu na wewe IGA iyo biashara na ikiwezeka fanya katika eneo Hilo isiwe mbali na hapo.

2.Angalia changamoto za watu apo katika eneo ulilopo fanya utatuzi mfano watu wanalalamika bidhaa flani inapitikana mbali ww fanya michakato wa kuisogeza karibu.

3.Iga biashara ya mtu alafu endeleza.

N:B Kuiga sio dhambi
#J
 
Kuiga ndo utaratibu uliopo bongo,una buni unapiga hela miezi kadhaa,baadae wanajaa tena wengi sana inakuwa nafuu kwa mteja
 
Back
Top Bottom