Watu wanaofanya Kenya, Tanzania na Dunia nzima iumie ni hawa Wachina. Hebu tazama jinsi wanavyofanyia mbwa

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Tazama video uone jinsi hawa watu washamba hukula vitu vya ajabu. Halafu anapika umbwa ikiwa bado hai. Hii corona ingewamaliza wote. Sasa Kenya na Tanzania tunaumia bure tu
 
Attachments

  • gvb.xyz-15232-F4n5HQbBiLyZ9_o5.mp4
    479.4 KB
Nyingine hii hapa. Tazama jinsi hawa watu wachawi wanavyokula popo

Wacha ubaguzi, mbona Ebola pia ilihusishwa na kula nyani na wanyama wa porini lakini dunia iliungana na Afrika katika kuzuia usisambae, nani mwenye haki ya kuamua mnyama au mdudu gani anafaa kuliwa?, mbona nguruwe ambaye wengi wetu tunamla sana pia hukumbwa na magonjwa mabaya hadi dunia inapiga marufuku nyama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimetumia akili ya kuzaliwa nayo kujiuliza mbwa hajazuiwa chochote mdomoni, wala kufungwa kamba miguuni kumzuia asipambane kujiokoa kwenye moto.

Mbwa kakubali anawekwa kwenye maji ya moto hang'ati mtu wala kukimbia, analia tu na kutulia kwenye dishi la maji ya moto kama mtoto anaogeshwa kwenye beseni la maji vugu vugu!???

Au kapigwa dawa ya kupooza misuli? Kama hivyo mbona anaweza kuachama mdomo na kulia?

Kuku, ndege wa porini, wanyama pori wengi wana virus wa kuweza kuuwa binadamu lakini duniani kote wanaliwa toka karne nyingi hadi kesho na hakuna lawama na makelele kama haya.

Achana na hii kitu ya kutaka watu wote wale na kuishi kama watu wa magharibi.
Movie karibu zote za vita au ukatili za hoolywood zinaonesha wazungu watu wema na waarabu, waafrika na watu wa Asia ni makatili, wachafu, hawajastaarabika huku kipimo cha ustaarabu kikiwa utamaduni wa wazungu.

Utashangaa mengi mazuri wanayo jisifia wazungu ustaarabu yametokea maeneo hayo wanayo kuaminisha sio wastaarabu.
Ikifika kwenye chakula na mavazi tu ndio vya kwao ni vizuri na ustaarabu.
 
wamesababisha hii china virus inasambaa kwa kasi Africa
Kitu cha kushangaza wagonjwa wote wa Afrika Mashariki au Afrika kwa uumla wametoa ugonjwa Uaya sio China.
Watu kutoka China wnaruhusiwa kuingia baadhi ya nchi zetu na hawajaleta ugonjwa, ugonjwa umeingia kwetu tokea kwa wastaarabu na wasafi!!!!
 
Wacha ubaguzi, mbona Ebola pia ilihusishwa na kula nyani na wanyama wa porini lakini dunia iliungana na Afrika katika kuzuia usisambae, nani mwenye haki ya kuamua mnyama au mdudu gani anafaa kuliwa?, mbona nguruwe ambaye wengi wetu tunamla sana pia hukumbwa na magonjwa mabaya hadi dunia inapiga marufuku nyama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau huko Kenya Jana wamempiga mpaka kumuuwa mwenzao kisa wamemuhisi ana corona Kama sio uchawi huu ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimetumia akili ya kuzaliwa nayo kujiuliza mbwa hajazuiwa chochote mdomoni, wala kufungwa kamba miguuni kumzuia asipambane kujiokoa kwenye moto.

Mbwa kakubali anawekwa kwenye maji ya moto hang'ati mtu wala kukimbia, analia tu na kutulia kwenye dishi la maji ya moto kama mtoto anaogeshwa kwenye beseni la maji vugu vugu!???

Au kapigwa dawa ya kupooza misuli? Kama hivyo mbona anaweza kuachama mdomo na kulia?

Kuku, ndege wa porini, wanyama pori wengi wana virus wa kuweza kuuwa binadamu lakini duniani kote wanaliwa toka karne nyingi hadi kesho na hakuna lawama na makelele kama haya.

Achana na hii kitu ya kutaka watu wote wale na kuishi kama watu wa magharibi.
Movie karibu zote za vita au ukatili za hoolywood zinaonesha wazungu watu wema na waarabu, waafrika na watu wa Asia ni makatili, wachafu, hawajastaarabika huku kipimo cha ustaarabu kikiwa utamaduni wa wazungu.

Utashangaa mengi mazuri wanayo jisifia wazungu ustaarabu yametokea maeneo hayo wanayo kuaminisha sio wastaarabu.
Ikifika kwenye chakula na mavazi tu ndio vya kwao ni izuri na ustaarabu.
Sawa basi tuendelee kula popo tu na kufa kama wajinga
 
Sawa basi tuendelee kubugia supu la popo
Wacha ubaguzi, mbona Ebola pia ilihusishwa na kula nyani na wanyama wa porini lakini dunia iliungana na Afrika katika kuzuia usisambae, nani mwenye haki ya kuamua mnyama au mdudu gani anafaa kuliwa?, mbona nguruwe ambaye wengi wetu tunamla sana pia hukumbwa na magonjwa mabaya hadi dunia inapiga marufuku nyama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu unakulaje popo? Vyakula vyote vilivyopo duniani mtu anaona popo ni mtam sana dah!
 
Sawa basi tuendelee kula popo tu na kufa kama wajinga
Huko China popo wamekuwa wakiliwa tangu zama za kale tatizo la Coronavirus limejitokeza mwishoni mwa 2019.
Tafiti zimeonesha ushahidi wa virusi vya Corona toka kwa Kakakuona ( Pangolin ) sio popo.

Ghana na Congo wanakula mbwa miaka nenda rudi, popo wanang'ata, wanakojolea matunda na kuyagusa yakiwa mitini nasi twakula hayo matunda lakini hawaja tuambukiza COVID-19 au kichaa cha mbwa (Rabies), imethibitika pasipokuwa na shaka popo ni carreer wa rabies virus.

Hii ni ajali kama majanga mengine yoyote.
Huu sio muda wa kulaumiana haitasaidia kitu.
Huu ni muda wa kushirikiana kutatua tatizo.

Miaka ya karibuni tulisikia ugonjwa kwenye nyama ya ngombe (beef) huko SA, Ulaya na Amerika.
Wahindi caste flani hawali ng'ombe na wala hawakutulaumu wala ng'ombe.
 
Back
Top Bottom