42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Hizi project za watu. Hii kula mbwa ni kisingizio tuTazama video uone jinsi hawa watu washamba hukula vitu vya ajabu. Halafu anapika umbwa ikiwa bado hai. Hii corona ingewamaliza wote. Sasa Kenya na Tanzania tunaumia bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app