Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes

1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like

2: mshana jr

3:daudi mchambuzi

4: mc 7
5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia


6:the boss

7:mtu mzito

8: eddy muhando
watu wasiotoa likes

1:miss natafuta aisee huyu jamaa sijawahi kuona akimpa mtu like sijui kitufe cha like hakipo kwenye kifaa chake anachotumia kuingilia JF

2:Valentina , huyu mchaga naye daah mbahili kichizi kutoa like

3:stunter; huyu brazameni naye hatoagi likes kabisa

4:nyani ngabu:huyu ngosha wa USA naye mbahili wa likes kichizi


Hii ndo list kulingana na maoni yangu wewe je ? toa list yako
Daud mchambuzi ni namba moja!
 
Back
Top Bottom