nina ndugu yangu huwa akiingia chooni kuchukua muda wa nusu saa hadi lisaa limoja. si kwa haja ndogo, kubwa au kuoga, muda wowote akiingia huchua muda huo.
salams

najua usafi kwa mwislam unaanzia chooni lakini kwa hali hii naona unapitiliza, nashindwa kumuuliza anafanya nini muda wote huo na labda kama kuna tatizo la kisaikolojia la kupenda tu kukaa chooni muda mrefu hivi. naomba ufafanuzi kwa wenye elimu juu ya hilo. majibu wa kihuni sitarajii kama vile pu....**%$#@...o sidhani kuwa ni sahihi
Jambo la kwanza si vyema kuogea chooni, chumba cha choo na bafu yapaswa vitenganishwe.
Pili, ni vyema ukamuuliza nduguyo pengine asiwe na tatizo lolote la kiafya kwa kuwa kwa namna ulivyotabanaisha yaonesha ni suala la mazoea zaidi.
Ingelikuwa umeandika kuwa anakawia zaidi kila aendapo haja kubwa, pengine tungelidhani ana matatizo kwenye mfumo wa utoaji taka mwili "constipation"
La kama angelikuwa anafanya hivyo pindi akienda kujiswafi mwili kwa kuoga, tungelidhani pengine anafanya "masturbation"
Maana yangu ni kuwa choo na kiwe na mlango wake vivyo hivyo na bafu...yaani viwe ni vyumba viwili tofauti.watu8,sijaelewa mkuu,una maana milango miwili tofauti au una maana gani?
salams
nina ndugu yangu huwa akiingia chooni kuchukua muda wa nusu saa hadi lisaa limoja. si kwa haja ndogo, kubwa au kuoga, muda wowote akiingia huchua muda huo.
najua usafi kwa mwislam unaanzia chooni lakini kwa hali hii naona unapitiliza, nashindwa kumuuliza anafanya nini muda wote huo na labda kama kuna tatizo la kisaikolojia la kupenda tu kukaa chooni muda mrefu hivi. naomba ufafanuzi kwa wenye elimu juu ya hilo. majibu wa kihuni sitarajii kama vile pu....**%$#@...o sidhani kuwa ni sahihi
Anajua JF itaingia chooni na nduguye kumla chabo akijiiba au chochote afanyaloKwahiyo unadhani sisi tutakuwa na majibu ya akifanyacho nduguyo huko?
.
, nashindwa kumuuliza anafanya nini muda wote huo
Maana yangu ni kuwa choo na kiwe na mlango wake vivyo hivyo na bafu...yaani viwe ni vyumba viwili tofauti.
i wandungu tusidanganyane ni pull tu atsluwa anafanyainategemea your idea of a bathroom.
Siyo kila choo na bafu lazima iwe mtindo huo.
Kuna bathrooms nyingine zina process oriented facilities kibaooo.Utatenganishaje?
Vyoo na mabafu ya uswazi au very basic bathrooms kweli yafaa kutenganisha
i wandungu tusidanganyane ni pull tu atsluwa anafanya
inategemea your idea of a bathroom.