Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Ha ha ha ha, nimekupenda bure khah!
Mimi pia hupenda kukaa chooni zaidi ya dakika 15 karibu kila siku hasa nyakati za asubuhi nikitoka kitandani na jioni mara chache. Na huwa nakaa nikiwa katika choo cha chumbani kwangu tu, nikisafiri au nikienda ugenini SIWEZI KABISAAA. Tabia yangu ni kama ifuatavyo...nikiamka tu kitandani huwa siwezi kwenda kujimwagia maji moja kwa moja kwani nahisi kama nakuwa na mawenge ya usingizi pili ni kawaida yangu lazima nipate choo kubwa asubuhi kabla sijaenda kazini kwani sipendi kujisaidia haja kubwa kwenye public toilets...sasa nikiamka naenda kukaa chooni (choo cha kukaa) ili mwili uondokane na usingizi pia wakati huo tumbo linaachia chakula nilichokula jana yake usiku taratibu hadi napata choo (sina tabia ile ya kubanwa na hajakubwa hadi usikie kinakaribia kugonga chupi ndio ukimbie chooni NO NO NO)...wakati napokuwa nimekaa chooni huwa nakuwa na mawazo mengi tofauti tofauti ya kazini,maisha,biashara,afya,shamba,nyumba,dini,shule etc inategemea napitia pito gani au furaha gani wakati huo na mara nyingine nakumbuka hadi mambo ya utotoni kabisa (Nazama na kupotea ktk mawazo kabisaa kama vile naota fulani hivi nikistuka hapo navuta pumzi ndefu moja then nanyanyuka naoga nakuwa fresh kwenda job)...SASA hapo sijui kama nina tatizo la kisaikolojia au ni nini? Nilishawahi kujiuliza mwenyewe nakosa jibu..nashukuru Mungu situmii public toilets. SI KWELI KAMA KUNA KUPIGA PU**ETO kama baadhi yenu mnavyofikiria.