Watu wanaopenda kukaa chooni muda mrefu: Ushauri plz

Ha ha ha ha, nimekupenda bure khah!

 
Dakika kumi na tano tuuu!! Mie nadhani hata huyo anayelalamikiwa hafui dafu kwangu.!! Yaani kwa choo is the only place ambayo huwa nakaa kwa utulivu zaidi na kupanga ratiba yangu ya siku! Huwa tunagombana sana na wife anavyokuja anabamiza mlango wakati nikuwa nawaza na kuwazua nikiwa humo ndani!! Baada ya hapo nakuwa fiti kimwili,kiakili na kiroho!!....ila mkuu hebu tusubirie majibu ya wengine isijekuwa tuna ugonjwa utokanao na kuumwa na mende....si unajua yale ndio makazi yao!!!!???
 

'mpango wa kuchunguzana hauna maana bwana,kwani wee unapofanya mambo yako nani anakuchunguza?,usiwe mswahili kiasi hicho ndugu fanya yako then muache nae afanye yake hata kama akikaa sana wee inakuhusu nini,muache............mind your business sio'
 


Duhhhh...nimecheka mpaka stress zimenitoka
 
1 hour ni too much mazee, akitoka si atakuwa ananuka kinyesi, unajua kuna wale watu wavivu wakati wa kazi wao hujificha chooni
 

. Chooni ndo mpango mzima wa kutafakari mambo mbalimbali
 
kama ni mwanaume, inawezakana huwa anamalizia kabisa pun.yeto. najua hutaki kuambiwa hivi lakini inaweza kuwa sababu mojawapo.

Mbona hamjamuuliza kama huyo ndugu ameoa au la una conclude punyeto moja kwa moja?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Basi endelea kukubali matokeo kama huwezi kumuuliza kiutu uzima man to man jokes aside.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha unaanza kukremu na wewe sasa. Master bedroom zitakuwa kubwa kama nje
Maana yangu ni kuwa choo na kiwe na mlango wake vivyo hivyo na bafu...yaani viwe ni vyumba viwili tofauti.
 
Kwahiyo unadhani sisi tutakuwa na majibu ya akifanyacho nduguyo huko?
Bujibuji jamaa ameomba msaada wa kimaelezo kama kuna saikolojia ambayo inaweza kuelezea hiyo hali.
Tungekua na Daktari Mmarekani walau mmoja hapa jukwaani angetuambia tatizo hili linasababishwa na nini manake wao kwao wanaongoza kwa kuvumbua disorders kila iitwapo leo. Nahisi hiyo lazima itakuwa ina jina lake labda "Toilet/washroom Overuse Disorder" tehe tehe tehe.
Wapi MziziMkavu aje atoe dahwa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ila wehu wako wengi humu ndani, tunahitaji kabiashara ka dispensary. Hizo tafakuri za kufanyia chooni ni kiboko. Ngoja nikatafakuri na mie leo
 

Umesahau starehe ingine ni kujamba. Au we hujambagi mkuu? Call a spade a spade and not a big spoon.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inawezekana ni mzee wa tgo, hutumia muda huo kunusa kinyesi hasa akimwona wife wako katoka toilet au pia ni mvuta bangi.
 
Basi mie kila siku nagombana na mume wangu. Akiingia choo cha haja kubwa (mana vimetengana na bafu) utamsahau. Smtimes huenda kumgongea mana hufikiri labda kalala au kapatwa na tatizo. Mhu, kumbe wako wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…