Watu wanapotekwa hamuimarishi ulinzi ila siku ya uchaguzi mnasema mtaimarisha ulinzi!

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kesi za watu waliotekwa na hao watekaji mnayo lists nzima maana wanafahamika ila hamjawahi kuchukua hatua yoyote, watu wanafanyiwa vitendo vya kinyama na wafanya vitendo hivyo mnawafahamu ila hamjawahi kuchukua hatua yoyote.

Mnakazana kuwazima watanzania wasizungumzie ukweli, mnawekeza nguvu kubwa kwenye kuwaziba midomo badala ya kushughulikia malalamishi yao ili wapate kunyamaza. CCM mmetuharibia nchi ila Mungu yupo, tukutane Oktoba 29


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…