Watu Wanasahau tu, Lakini Huu nao Ni Unafki Mtakatifu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
mtu anafiwa na mama yake. . .analia kichizi. .
.wengne mpaka wanazimia. . But after few years
next. . .akiulizwa ni siku gani hautokuja
kuisahau....anakwambia nilivo Achana na mpenzi
wangu hadija..!nliumia sana nilikuwa very lonely....!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] ....
....sanaaa
 
Sio huo tu mtu akiumwa watu wakiomba mchango hawamchangii ila ikatokea bahati mbaya mgonjwa kafariki wanaangaika kujichangisha kugharamia msiba kwa m2 aliyekwishafariki wakati wangechangia mwanzo wangeweza hata kuokoa uhai wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] asante umenifanya nilalee kwa tabasamuu kbs loh umejua kunichekesha
 
Sio huo tu mtu akiumwa watu wakiomba mchango hawamchangii ila ikatokea bahati mbaya mgonjwa kafariki wanaangaika kujichangisha kugharamia msiba kwa m2 aliyekwishafariki wakati wangechangia mwanzo wangeweza hata kuokoa uhai wake.
Huu sasa ndo unafiki mkubwa "namba moja" wa asilimia kubwa ya binadamu..
 
Sio huo tu mtu akiumwa watu wakiomba mchango hawamchangii ila ikatokea bahati mbaya mgonjwa kafariki wanaangaika kujichangisha kugharamia msiba kwa m2 aliyekwishafariki wakati wangechangia mwanzo wangeweza hata kuokoa uhai wake.
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom