Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu sasa ndo unafiki mkubwa "namba moja" wa asilimia kubwa ya binadamu..Sio huo tu mtu akiumwa watu wakiomba mchango hawamchangii ila ikatokea bahati mbaya mgonjwa kafariki wanaangaika kujichangisha kugharamia msiba kwa m2 aliyekwishafariki wakati wangechangia mwanzo wangeweza hata kuokoa uhai wake.
Kweli kabisa mkuuSio huo tu mtu akiumwa watu wakiomba mchango hawamchangii ila ikatokea bahati mbaya mgonjwa kafariki wanaangaika kujichangisha kugharamia msiba kwa m2 aliyekwishafariki wakati wangechangia mwanzo wangeweza hata kuokoa uhai wake.