Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So umegundua utambulisho wako no UPI??Asante Sana mkuu Da'Vinci. Nimewahi kujiuliza hili swali lakini sikupata jibu kamili nikaishia kusema mimi ni mimi ninaeongea nabniliepo hapa.
Nilijiuliza je nini kinanitambulisha mimi ambacho ni cha kipekee hakifanani na mwingine kabsa? Je ni jina?
Internal Je jina linaweza kuwa utambulisho wangu katika jamii? Lakini ninkasema jina tu halitoshi kunitambulisha kwa maana wapo Internal wengi saana kwenye jamii hivyo jina haliwezi kuwa iutambulisho wangu wa peke yangu. Je! Nikibadili jina ukubwani ina maana utambulisho wangu umepotea kwa kubadili jina?
Sura. Je! Sura yangu inaweza kuwa ndo utambulisho wangu lakini nikasema hapana maana wanasema Duniani wawili wawili yani yupo mwingine mwenye Sura kama yangu hivyo sura haiwezi kunifanya wa tofauti na wa kipekee pekee.
Rangi: Rangi nyeusi haiwezi kuwa utambulisho wangu weusi tuko wengi siwezi kutafutwa kwa rangi yangu nikapatikana mimi tu mana tuko wengi. Je na hao ambao walikuwa weusi na sasa wamejicaro ina maana utambulisho wao umepotea?
Tabia: mbona tabia zinafanana sana, hivi kweli tabia yangu ikiwa mbaya au njema inaweza kuwa ndo utambulisho wangu? No. Ikiwa nilikuwa na Tabia njema na sasa niko na tabia mbaya ni kusema utambulisho wangu umepotea?
Maswali ni mengi sana ya kujiuliza kuhusu mimi ni nan.
Ila mimi ni mimi nilieandika hapa.
Majini yamejaa kwenye bongo zakoWANAFUNZI WA YESU
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya;
Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti.(Marko 10:2-4).
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).
Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani? Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?
Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.
Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu.
Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.
1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).
2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).
3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).
4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).
5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).
6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).
7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).
8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).
9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).
Hapa juu mmesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.
Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Bwana Yesu mwenyewe. Qur'an:
“Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” (Qur'an 61:15).
Majini yamejaa kwenye bongo zako
Mbona liko kitambo mkuu! Kwa sasa najishughulisha zaidi na kuwajuza watu wajitambue.Uliahidi kuleta andiko kama hili naona kimya
Basi waliamua kugawana sentence mojaHizi post mbili ukiziunganisha unapata sentence moja kamili
Mimi ni Kiongozi, ni lazima nitumike kama Daraja kuwafikisha watu pahala fulani ili nifanikiweJibu gani hilo?
Ndio maana anabaki kua mwanafalsafa namba Mona kuwahi kutokea katika ulimwengu! Kila neno alilokua anaongea limejaa hekima ya uzimaIla misemo ya Yesu hadi leo jaina mpizani, na maswali yake hadi leo hakuna aliyejibu hata moja ,
Simaanishi kiongozi awe Rais ama namna gani, uongozi upo kwa namna nyingi. Waweza kuwa ndiye mwenye kutoa maelekezo au kutatua changamoto fulani ukawapa wengine suluhu wakaifanyie kazi(nimekosa neno sahihi zaidi la kiswahili kuliweka hapa)Je akitokea kiongozi mwingine utasema yule ni wewe?
HakikaNdio maana anabaki kua mwanafalsafa namba Mona kuwahi kutokea katika ulimwengu! Kila neno alilokua anaongea limejaa hekima ya uzima
Mshana ukweli unatakiwa uwe universal and unchanged truth. Sio wa kaliba fulani au jamii fulani.Ukweli ni ithibati isiyoacha shaka kwa kaliba fulani ya watu ama jamii...