Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

So umegundua utambulisho wako no UPI??
 
Majini yamejaa kwenye bongo zako
 
Somo hili nimelisoma tena leo ili kuweka mwendelezo wa kuyasaka maarifa. Kwa nyongeza tambua kuwa maarifa ndiyo jambo kuu la kuufungua mlango wako wa fahamu namba sita.
 
Somo hili nimelisoma tena leo ili kuweka mwendelezo wa kuyasaka maarifa. Kwa nyongeza tambua kuwa maarifa ndiyo jambo kuu la kuufungua mlango wako wa fahamu namba sita.
Uliahidi kuleta andiko kama hili naona kimya
 
Nimewahi kujiuliza hilo swali mara kadhaa cha kushangaa nimekuwa nikijibiwa jibu lile lile kutoka ndani ya Nafsi Yangu. Kila nikilipambanua jibu lile ninaona ni Ukweli na sijawahi Kutetereka kamwe.
 
Nimewahi kujiuliza hilo swali mara kadhaa cha kushangaa nimekuwa nikijibiwa jibu lile lile kutoka ndani ya Nafsi Yangu. Kila nikilipambanua jibu lile ninaona ni Ukweli na sijawahi Kutetereka kamwe.
Jibu gani hilo?
 
Ila misemo ya Yesu hadi leo jaina mpizani, na maswali yake hadi leo hakuna aliyejibu hata moja ,
 
Mimi ni Kiongozi, ni lazima nitumike kama Daraja kuwafikisha watu pahala fulani ili nifanikiwe
Je akitokea kiongozi mwingine utasema yule ni wewe?
 
Ila misemo ya Yesu hadi leo jaina mpizani, na maswali yake hadi leo hakuna aliyejibu hata moja ,
Ndio maana anabaki kua mwanafalsafa namba Mona kuwahi kutokea katika ulimwengu! Kila neno alilokua anaongea limejaa hekima ya uzima
 
Reactions: sab
Je akitokea kiongozi mwingine utasema yule ni wewe?
Simaanishi kiongozi awe Rais ama namna gani, uongozi upo kwa namna nyingi. Waweza kuwa ndiye mwenye kutoa maelekezo au kutatua changamoto fulani ukawapa wengine suluhu wakaifanyie kazi(nimekosa neno sahihi zaidi la kiswahili kuliweka hapa)
 
Ukweli ni ithibati isiyoacha shaka kwa kaliba fulani ya watu ama jamii...
Mshana ukweli unatakiwa uwe universal and unchanged truth. Sio wa kaliba fulani au jamii fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…