Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Mie nimekuuliza swali, badala ya wewe kujibu swali langu na wewe unauliza swali? Una maana hauna jibu?

Toa jibu la swali langu nililokuuliza kwanza kama hauna jibu sema tu shuna jibu, halafu uliza swali lako. Usiwe poyoyo.
Swali ulilo uliza hata akikaa miaka mia ,jibu halitapatikana kabisa ,itabaki kutoa ushahidi wa kiujanja ujanja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mkuu,Da'vinci hakika bandiko lako zuri kweli.Ila ningependa ufahamu kuwa,kila mtu ana mtizamo wake juu ya mtu mwingine,na mitazamo mingine imegubikwa na choyo,wivu na chuki.Hivyo mtu akitaka kujifahamu na kujijua,kupitia watu wengine atakuwa anajiongopea.Nitaliunga Mkono hilo la Mungu,hakika ukimjua Mungu ki sawa sawa,bila Shaka na wewe utajijua na utajua na lengo la kuja kwako hapa ulimwenguni.Na kuhusu yesu,tayari yeye alikuwa ashatabiriwa toka zamani,hivyo watu walikuwa wakijua atakuja,na aliuliza ili apate hakikisho tu kama watu wanamfahamu.
Nasimama kurekebishwa.Asanteni wakuu
 
Mkuu hili bandiko limekaa vyema. Kujitambua ni jambo jema sana katika maisha haya tunayoishi.
Niongezee kidogo.
MIT. 1:7 SUV
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

SUV: Swahili Union Version
kwa lugha ile ya Bibi inasema hivi.
Proverbs 1:7 King James Version (KJV)
7 The fear of the Lord is the beginning of knowledge: but fools despise wisdom and instruction.

Mstari huu unatuonyesha kuwa karibu na Mungu kunatusaidia kujifunza na kujitambua kunakuwepo ndani.
 


Huyo aliyeandika maneno hayo ni nani ??
 
Ahsante sana mkuu tuendelee kujumbushana kutenda mema
 
Imekaa vizuri kifalsafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…