Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana gani?
mu.
Luka 9:18-21 "Yesu aliwauliza wanafunzi wake kua je makutano hao wanasema ya kua mimi ni nani? Wanafunzi wake wakajibu yohana mbatizaji wengine wanasema wewe ni Eliya lakini petro akamjibu kua Ndiwe Kristo wa Mungu".
Written by
Da’Vinci
Jf expert member.
Wapi Yesu amesema "Mimi Mungu"?YESU;
1. Wewe ni Mwana wa Mungu aliye hai.
2. Wewe ni Neno wa Mungu
3. Wewe ni Muumbaji wa Mbingu na Nchi
4. Wewe ni Masiha
5. Wewe ni Mwokozi wetu
6. Wewe ni Bwana wetu
7. Wewe ni Mchungaji wetu
8. Wewe ni mtetezi wetu
9. Wewe ni Adam aliyeshinda dhambi na mauti
10. Wewe ni tegemeo letu
Itoshe tu kusema, tunakupenda Yesu. Halleluya
Hilo andiko linajibu andiko lako na nimelinukuu juu hapo. Kwanini nifungue uzi wakati najibu andiko lako?Je waweza fungua uzi katika andiko hili ili tuje kujadili huko?
Naona umeelewa jinsi Petro alivyokufuru na Yesu alivyomkemea. Kumbuka hilo.Hapana halijawa mwiba..
Yaani alipo semaWapi Yesu amesema "Mimi Mungu"?
Nikuweke sawa nini wakati mimi nimeuliza swali?Yaani alipo sema
"Wewe Mungu"
Au
"Yeye ni Mungu"
Tuweke sawa hapo kwanza.
Hahahaaa, hivi wewe unajua biblia au kanjanja tu kama shetani aliyemjaribu Yesu kubadili jiwe liwe mkate.. Unatumia vifungu vya biblia kwa tafsiri isiyo sahihi.... Hilo ni andiko lenye uhai muhimili katika Imani ya kikristo..Mathayo16:23 Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
HapaNikuweke sawa nini wakati mimi nimeuliza swali?
Wapi Yesu amesema "Mimi Mungu"?
Hahahaaa, hivi wewe unajua biblia au kanjanja tu kama shetani aliyemjaribu Yesu kubadili jiwe liwe mkate.. Unatumia vifungu vya biblia kwa tafsiri isiyo sahihi.... Hilo ni andiko lenye uhai muhimili katika Imani ya kikristo..
Fungua uzi tukusaidie kwa mapana yake.
Hapa
Ufunuo wa Yohana 21:5
Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.
6 Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
7
Ni wapi Yesu Kristo amesema ''Mimi Si Mungu"?Wapi Yesu amesema "Mimi Mungu"?
Unapoteza muda kumuelewesha huyo..Ni wapi Yesu Kristo amesema ''Mimi Si Mungu"?
Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. 16Akajitupa chini mbele ya miguu ya Yesu huku akimshukuru. Huyo alikuwa Msamaria. 17Hapo Yesu akasema, "Je, si watu kumi walitakaswa? Wale tisa wako wapi? 18Hakupatikana mwingine aliyerudi kumtukuza Mungu ila tu huyu mgeni?" 19Halafu akamwambia huyo mtu, "Simama, uende zako; imani yako imekuponya."
Kwanini Yesu hakumkemea huyu Msamaria kuwa asimsujudie kwa kuwa Yeye si Mungu?
Luka 17:15-19
Na tena Mungu ana pomleta mwanae, mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, anasema: “Malaika wote wa Mungu wamwabudu yeye.”
Waebrania 1:6
Faizafoxy, ebu tuambie, ni nani anayepashwa kuabudiwa?
Hapo juu ktk Luka 17:15-19 huyu Msamaria aliyeponywa ukoma alirudi kumshukuru nani?