Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #301
Khaligraph Jordan ahsante kwa likes..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mtumishiKhaligraph Jordan ahsante kwa likes..
Nitachoka sana, sema nianze na majibu ya swali la ngapi.Yaweke tuone Tujifunze
Jibu hili swali aliloweka kwenye list; "kwanini niko hapa"Nitachoka sana, sema nianze na majibu ya swali la ngapi.
Mimi ni mkristo naamin maandiko ya neno la Mungu katika biblia takatifu.Jibu hili swali aliloweka kwenye list; "kwanini niko hapa"
Unaweza jibu kutumia personality yako au general!
Yaweke tuone Tujifunze
Mungu ndie kaniumba.Jibu hili swali aliloweka kwenye list; "kwanini niko hapa"
Unaweza jibu kutumia personality yako au general!
Mungu ndie kaniumba.
Maisha ya duniani ni mazuri sana japo ni mahali ambapu shetani husumbua sumbua,
Hatuwezi kuishi hapa duniani bila Neno la Mungu,
Neno la Mungu katika kitabu chake kitakatifu pia kinasema Mungu husema nasi kupitia roho mtakatifu.
Maagizo ya Yesu alipokua akipaa kwenda Mbinguni alisema na Baba yake kuwa...
Yohana 17:15-18
[15]Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.
[16]Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
[17]Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.
[18]Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami vivyo hivyo naliwatuma hao ulimwenguni.
Tunafaa kumcha Mungu kama mtoa mada hapo juu.
Pia kila mmoja wetu anatakiwa kuenenda sawa na Mpango wa Mungu, yeye aliyetuacha hapa duniani na siku ya mwisho atatuchukua kwenda kwenda mbinguni.
Nashukuru Mungu kunipa neema ya kutambua ya kuwa napaswa kusikiliza sauti ya Mungu mim kama mm na kujua ni mpango gani au kazi gani ambayo Mungu anataka nifanye.
Huku akinipa kila kitu hapa duniani, nikizifata njia zake.
Aki maisha ya duniani tunayo kazi ngumu lakin bado nimazuri.
Mungu katupa kalama kila mtu na kalama yake
Wengine wachugaji, waalimu, mitume, maaskofu, wainjilisti.
Kusudi la Mungu kwako ni nini?Mungu ndie kaniumba.

Ukienda nje ya kusudi au mipango ya Mungu ni lazima kuangukia pua.Kusudi la Mungu kwako ni nini?
Umezungumzia unachotakiwa kufanya ndani ya kusudi!