Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Watajiju NRNEKwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa.
Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe.
Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi.
Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM haina dira wala mwelekeo.
Au jambo gani limetokea Askofu Gwajima alipofanya Press Conference kuishauri Serikali .
Sababu za kujiuzulu si alishazitoa kwenye barua! Ufafanuzi wa nini tena,!!?Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa.
Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe.
Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi.
Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM haina dira wala mwelekeo.
Au jambo gani limetokea Askofu Gwajima alipofanya Press Conference kuishauri Serikali .
Kwa sababu tayari watu wameshaanza kutabiri mkutano huo utazingirwa na Polisi