Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Watu wanatekwa sana na kuuwawa mbona hatusikii Mkunda akikemea ? jeshi lile sio la Mkunda wala Samia ni la wananchi
Jeshi ni la wananchi sio Mkunda wala nani, ni jeshi letu sisi wananchi wakina Mkunda ni wasimamizi tu sio mali zao zile endapo kutakuwa na mazingira ya kuhatarisha nchi tunapaswa kuwaondoa viongozi wanao onekana wanaunga mkono utekaji na mauwaji