Watu wanatweka mubashara sio kificho tena, mnataka nini nyie CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Yalikuwa ni kificho ila sasa wakikukosa wewe wanatafuta ndugu,jamaa na marafiki wawe kwenye target yao.

CCm sio chama ni chama cha kigaidi tukubari.

Kwa sasa wanabajeti ya kulipa watekaji wenye mwamvuri wa vyombo vya ulinzi.

Sasa hivi unafatwa hata ukiwa karibu na kituo cha polisi mchana kweupe.

Wanaua, wanapoteza, wanabaka, wanafira na kuchukua mali zako kama pesa.
 
Ukiona hivyo wamekaribia kukuta moto na kupoteza, huwezi shindana na unabii. Watumishi wa Mungu wametabiri. Na lichawi lilitabiri sheikh yahaya
 
Laiti wangejua ndyo inaynwaharibia wasingetenda haya.mwisho wa chama chochote cha kisiasa huwa wanafanya hvyo.ccm imefika mwisho.vyama vyote vya ucomunist vilikufa vifo km hivi.sishangaikwa ccm ndyo ukawa kifo chao
 
ACHA UZANDIKI
 
Watapigana na sisi kututeka na kutuua ila wajue hawana uwezo wa kumua mungu, mungu ana tenda haki kama wanaxho Fanya ni haki basi watadumu nacho ila kama si haki wajipange na nafsi yangu pia ijipange kama wakosaji sote
 
Mimi nnavyojua mapenzi huwa hayalazimishwi, wenyewe watakuambia mbona nchi zingine watu wanatekwa wanauawa, wanabakwa na kufirwa(hii ya kufirwa kwa wenzetu(mbele) sina uhakika kama inafanywa kwa kiwango cha nyumbani huku kesi ni nyingi mno kuziignore, inaweza ikawa ni ubunifu wa kwetu), kwa hiyo katika vitu vyote vinavyofanyika kwa wengine walioendelea wameona waige madudu tu? vipi kuhusu matumizi ya nuclear energy kuzalisha umeme kama kweli mnaiga russia au vipi uchumi, wakujitegemea kama mnaiga china? Nimesoma kwenye citizen mastoR anapeleka gesi yetu kenya na sisi tuko tu mali yetu inatajirisha mtu mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…