Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k
Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya......
Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule,
Umeme, walinzi, wafanyakazi wengine wa shule wameanza ugomvi na wakuu wa shule,
Shule nyingi zinapokea laki 3 tu au chini ya hapo kwa ajili ya kuendesha shule (my goodness),
Kuna shule nyingi tu zimefanya midterm test kwa kuandika ubaoni....mambo ya kizamani kabisa.
Nijuavyo, hata iweje, shuleni kwa siku lazima kiasi fulani kitumike ili shughuli zote ziende sawa....wakuu kazi wanayo!
Serikali ifanye au iseme jambo!!!