Watu wangu wa nguvu Sana kwa mwezi February

Watu wangu wa nguvu Sana kwa mwezi February

Fanya kaz mdogo wangu/kaka yangu/babu yangu.maisha si marahis kihivyo,utakuja juta mbelen.amua sasa.

Huo muda wa kusoma na kuwajua hawa wote unautoa wap mwenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji860][emoji860][emoji860][emoji860]kama ww upo JF na hauna kaz, nakupa pole..

me ni wakala mda wote nipo online na kazi nafanya kama kawa(maybe mtandao ukizingua) sasa huoni kuwa nina sababu ya kuwajua member wenzangu hapa jamvini?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwezi huwa nachagua watu sitini wakali wangu ambao nitakuwa nasoma michango Yao na thread zao zote walizoanzisha ili niweze kujiongezea maarifa.wafuatao Ni ambao nimewasoma kwa mwezi wa February baada ya kugundua Wana kitu fulani kichwani wanapoandika.wana madini Sana yaliyojificha wanachoandika Ni fundisho sana.nataka niwe deep Kama wao.nawapa big up Sana nitaendelea kujifunza mengi kupitia wao Ili nipate elimu.najua wapo wengi Sana wenye uwezo ila Hawa ndo nimewapatia nafasi kwa huu mwezi wa pili kuwasoma

Ibambasi
Sonadem
Ngofilo
Common wananchi
Santal
SMART PASSENGER
MTAZAMO
Elly official
Themagufulianz
Sheiza
Mupirocin
Kipara kipya
Stephot
Maharo
Philipo bukililo
Katashekadu
Drlove69
Misasa
Hoshea
IFRS
rodrick Alexander
Naby keita
Chlorine gas
Macson3
Kipande
TUNDALI
Liwasa
Uwarid
Jmc06
Van pebles
Umkhontowe size
Msabillah
Mugabe one
Fullifilled truth
Topongodo
Cocochanel
Zipompa
Adriz
Twiny
Beef lasagna
Sirkhan
Sosssy
Lily Tony
NTABO WA NTABO
Miss natafuta
UCD
Arch angel
Mwifwa
Joanah
Bulaya01
Chopspuro
Sblandes
Redio
Twahil
Izzo
Mshana Jr
Chief mkwawa
Sumti
Katashekadm
Mkorinto
Kilicho matter Ni ubora
mbona jina langu silioni? ulitumia sampuli gani katika kuteua hayo majina sitini? naomba kujua methodolojia ilitumika katika kuleta mrejesho wka jamii husika? otherwise usinisahau next month
 
mbona jina langu silioni? ulitumia sampuli gani katika kuteua hayo majina sitini? naomba kujua methodolojia ilitumika katika kuleta mrejesho wka jamii husika? otherwise usinisahau next month
Ndo kwanza nakujua leo
 
Write your reply...watu wamewekwa kirafiki tuu. sasa basi kila mtu aweke watu wake 60 anaowakubali!
sijui itakuwaje?
 
Back
Top Bottom