Watu wanne wa familia moja wafariki katika ajali ya moto nyumbani kwao

Watu wanne wa familia moja wafariki katika ajali ya moto nyumbani kwao

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Wakazi wa Makueni Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wafariki kutokana na ajali ya moto iliyoikumba nyumba yao iliyopo maeneo ya soko la Nyunzu maeneo ya Makueni.

Katika tukio hilo Mama yake Mueni aliyetambulika kwa jina la Monica Matolo, 75 alipata majeraha kadhaa ya moto na kukimbizwa hospitali ya rufaa ya Makueni kwa ajili ya kupata matibabu.

Aidha, katika uokozi huo mali za thamani zilishindwa kuokolewa na kuachwa vikateketea. Taarifa zinaeleza kuwa nyumba hiyo ilikuwa na harufu kali ya petroli jambo linaloonesha kuwa kuna mtu alihusika kuunguza nyumba hiyo.

Polisi wanamuhisi Kaka yake Mueni kuhusika katika tukio hilo kutokana na kuwapo kwa mgogoro wa ardhi wa kifamilia. Aidha, miili minne iliyokutwa katika tukio hilo ilibebwa na kwenda kuhifadhiwa mochwari ya hospitali ya rufaa ya Makueni.

1574656227781.png

Picha haihusiani na tukio


Zaidi soma:

A woman, her daughter and two grandchildren were burned to death on Sunday after suspected arsonists set their house on fire in Nyunzu market, Makueni County.

Ms Regina Mueni, 49, succumbed to burn injuries she sustained in the 4 am incident which also claimed the lives of her daughter Faith Mangeli, 27, and granddaughters Angel Masava, 5, and Amelia Masava, 2.

Ms Mueni’s mother, Monica Matolo, 75, sustained slight burns and was rushed to Makueni County Referral Hospital for treatment.

Hours after the attack furniture and household items of unknown value were still burning.

“This is a clear case of arson, there was a strong smell of petrol on the smouldering debris,” Makueni County Commissioner, Mohammed Maalim said.

Neighbours told the Nation that Ms Mangeli and her daughters had just travelled to her mother's place.

Ms Mueni had been at the centre of a protracted land dispute with her brothers.

Sources privy to the land dispute said Ms Mueni’s brothers were opposed to her claim on the family land.

“The land dispute had been solved through the assistance of local administrators and a decision had been arrived that the land would be subdivided today (Sunday),” said Mr Maalim.

Makueni sub-county Police Commander, Timothy Maina, said the police have launched investigations into the incident.

“The police are pursuing Ms Mueni’s brothers. They are the prime suspects,” Mr Maalim told the Nation.

The four bodies were moved to Makueni County Referral Hospital mortuary.

Chanzo: Daily Nation
 
Back
Top Bottom