Watu wapewe PhD kulingana na mambo waliyoifanyia nchi, si makaratasi mliosomea madarasani

Watu wapewe PhD kulingana na mambo waliyoifanyia nchi, si makaratasi mliosomea madarasani

Kama huna akili kanunue phd, kama una akili kasome hayo unayoita makaratasi.

Kwa taarifa yako mtoa mada hakuna mwenye phd unamzd chochote isipokuwa roho mbaya.
Hakuna mwenye PhD anaenizidi Chochote ,anakunya nakunya, ameoa nimeoa, amezaa nimezaa,anasomesha nasomesha,atakufa nitakufa, labda wewe ndio Wana kuzidi Kila kitu nenda kawapigie Magoti kama hiyo mikaratasi Yao itakusaidia chochote
 
Hiyo ni PhD ya heshima kwa jambo ulofanya kwa aina nyingi kwa vitendo . Nadhani mkisikiliza waziri amefafanua PhD ziko Aina 3 .

Sasa hii ya Heshima sio ya kuombea ajira wala sio inakupa maslahi yeyote ni kutambua mchango wako katika mambo mbali mbali ipo ya kijamii zaidi. Sasa kipi kinachowauma wenye PhD za kuandika au kukaa chuo hizo ni kwa ajili ya kutafutia maisha ajira mbele ya maisha yako.

Dunia katika Elimu ishatambua kuna PhD ya Heshima labda madokta wa makaratasi waombe dunia ibadilishe kuwa PhD za heshima zibadilishwe jina badala ya kuita DR watafute neno lingine litumike.

KAMA PHD ZA MAKARATASI NA KUANDIKA UTAFITI ZIMEJAA FEKI NYINGI ZIKICHAMBULIWA NA WATAHINIWA WAPEWE MITIHANI TENA UTAKUTA NUSU WAMETUMIA MBINU KUZIPATA HUKO HUKO VYUONI.
 
Back
Top Bottom