Hiyo ni PhD ya heshima kwa jambo ulofanya kwa aina nyingi kwa vitendo . Nadhani mkisikiliza waziri amefafanua PhD ziko Aina 3 .
Sasa hii ya Heshima sio ya kuombea ajira wala sio inakupa maslahi yeyote ni kutambua mchango wako katika mambo mbali mbali ipo ya kijamii zaidi. Sasa kipi kinachowauma wenye PhD za kuandika au kukaa chuo hizo ni kwa ajili ya kutafutia maisha ajira mbele ya maisha yako.
Dunia katika Elimu ishatambua kuna PhD ya Heshima labda madokta wa makaratasi waombe dunia ibadilishe kuwa PhD za heshima zibadilishwe jina badala ya kuita DR watafute neno lingine litumike.
KAMA PHD ZA MAKARATASI NA KUANDIKA UTAFITI ZIMEJAA FEKI NYINGI ZIKICHAMBULIWA NA WATAHINIWA WAPEWE MITIHANI TENA UTAKUTA NUSU WAMETUMIA MBINU KUZIPATA HUKO HUKO VYUONI.