Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Sio wote ila mimi ni mteteziTatzo sio kuonewa, yani mnaingilia vitu ambavyo haviwahusu huku hamjui chanzo ilimradi yu muonekane kuwa n watetezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote ila mimi ni mteteziTatzo sio kuonewa, yani mnaingilia vitu ambavyo haviwahusu huku hamjui chanzo ilimradi yu muonekane kuwa n watetezi.
Mtetezi umekuwa YesuSio wote ila mimi ni mtetezi
Kweli?Mbona me mfupi sina hizo Tabia!!
Kweli....Kweli?
Picha plzzKweli....
Hahahaha haya mkuu, ila you made my dayMtetezi umekuwa Yesu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wafupi wana ongoza kwa kugongwa na magari maana una weza zani jani lime pita kumbe mtu[emoji41]
Awapi wanaoongoza kwa kugongwa na magari ni warefu Kwasababu wafupi hua gari likipita wao wanakua wako salama kwasabu wanakua chini ya uvungu wa gariWatu wafupi wana ongoza kwa kugongwa na magari maana una weza zani jani lime pita kumbe mtu[emoji41]
Watu wafupi wanabahati, mvua ikinyesha wao wanakua wamwisho kuloaBila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Leo nimeona tuje tujadili changamoto na sifa za watu warefu hasa wanaume na wanaume wafupi
Hizi ni baadhi ya sifa za watu warefu
Kwanza wengi wako na mvuto attractive
Wako na uwezo wa kuelewa haraka
Nguo zimetengenezwa kwa ajili ya watu warefu na watoto
Hizi ni baadhi ya sifa za watu wafupi
Kwanza kabisa hawa watu wafupi wana asili ya ubishi na wengi wao wakorofi
Pia ni wahudhuriaji wazuri wa maduka ya nguo za watoto
Wagumu kuelewa ila wakijua wamejua ni ngumu sana kusahau
Inasadikika wako na mapenzi ya dhati kuliko watu warefu
Taja sifa na changamoto unazopata kama mtu mrefu au mfupi
Ni kwasababu chini mmejaaliwaWafupi tunajua thamani ya mwanamke halafu hatuwadharau
Naskia hua vinaroho mbaya et kwasababu ubongo uko karibu na makalioWafupi hasira na kupenda ugomvi ovyo
Wafupi wanatabia nyingi kwanza hua hawapendi kukubali tabia zao au mapungufu yaoMbona me mfupi sina hizo Tabia!!