Watu wasiofahamika wa Usalama wana nguvu kuzidi demokrasia ya Watanzania wote

Tanzania ndo utakuta Madudu ya Kipuuzi namna hii
 
Sasa mbona unajichanganya sana mkuu. Serikali ni Rais na baraza lake. Unasema serikali imetumia usalama kughushi uchaguzi. Unasema tena usalama wanaweza kumtisha Rais. Sasa Rais (serikali) itatishwa vipi na usalama wanao wanaowateua wao?
=====
Kama ni kweli Serikali imetumia usalama kugushi makaratasi ya uchaguzi, kupanga matokeo ya uchaguzi Tanzania nzima na kufilisi wapinzani
Lakini vilevile unaweza ukawa na viongozi wabaya usalama wenye malengo binafsi na wakamtisha mpaka raisi wa nchi
Lakini la pili kwenye hili ni kwamba usalama utakuwa na nguvu ya kutishia bunge zima hadi Mawaziri.
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame waliipenda wenyewe,acha tuvimbe tupasuke,sote tunaisoma nambaae ccm mbele kwa mbele.
 
Eti Kuna kakikundi ka wapuuzi kanajiita inner circle, ndo kanatupelekesha watz mil 60
 
Sasa mbona unajichanganya sana mkuu. Serikali ni Rais na baraza lake. Unasema serikali imetumia usalama kughushi uchaguzi. Unasema tena usalama wanaweza kumtisha Rais. Sasa Rais (serikali) itatishwa vipi na usalama wanao wanaowateua wao?
=====
Kwa kumuhadaa na taarifa feki au kumblackmail
 
Kuna mambo yaache kama yalivyo...

Inavyoonekana kwa sasa hiyo idara ni kama imevamiwa...
 
Hii inaitwa mchelea mwana kulia.
 
ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…