Watu wasiojua kingereza wako na wivu sana

Watu wasiojua kingereza wako na wivu sana

My name is Sikidhani
I come from Namanyere
I live in Tanzania Dar es Salaam region Temeke district Mbagala Charambe rural area
I live with me myself and I
I like cooking and eating my food
I like singing and dancing
I love swimming and reading love stories
I love boy friends who are not my boyfriends i.e. we don’t do that thing we just swim dance sing cook eat read and travel togather
I endeavor traveling as I love adventures
I like learning new things like culture dishes how it is made and how do they do it and so forth of the like.
Am too old to argue but I won’t stop where a need arise
Some more...??!
It’s a biscuit, I love chocolate instead.

Ciao.

[emoji2956]
 
Kiingereza ni essential kwenye ulimwengu huu wa technology inayokua kwa kasi ya ajabu... kiingereza ni lugha ya dunia,, hata ukienda China n wewe hujui kichina basi kiingereza kitakusaidia kuwasiliana...
Ili biashara yako ifike mbali hadi kimataifa basi kiingereza ni lazima kwa mawasiliano..
Ili uweze kusaini mikataba mikubwa basi kiingereza muhimu..

Hao wanaochukia kiingereza sababu hawakiwezi ni wajinga....haina maana kama kitu hukiwezi basi kila mtu akichukie huo n ujinga kufa nao warithishe wanao na ukoo wenu huko kwenu mafyekeni...ujinga tu..
 
Hivi inakuaje mtu unakua na chuki kisa kingereza kinakupa shida, wengine wanataka mpaka kuomba uongozi wakati lugha ya Queen nichangamoto kwao.
[emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-07-28-00-58-09.jpeg
 
Hizi lugha aisee! Ni kama unataka kutongoza manziii mkaliii! Alafu huna ujasiri, unajikuta unacheka cheka tu
 
Back
Top Bottom