mabuba Senior Member Joined Dec 5, 2006 Posts 133 Reaction score 90 Sep 9, 2017 #1 Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF. Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana. Hii ni Nyumba ya watu wasiojulikana
Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF. Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana. Hii ni Nyumba ya watu wasiojulikana
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Sep 9, 2017 #2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madame S
Black agenst Member Joined Aug 26, 2017 Posts 84 Reaction score 81 Sep 9, 2017 #3 Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Sep 9, 2017 #4 Watu wasiojulikana wanamumendea mbiti wangu Sent using Jamii Forums mobile app
Maxmizer JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,226 Sep 9, 2017 #5 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] *Akifa shekhe kazi ya Mungu* *Akifa mlevi sababu ya Pombe*
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] *Akifa shekhe kazi ya Mungu* *Akifa mlevi sababu ya Pombe*
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,672 Reaction score 3,055 Sep 9, 2017 #6 angalie usihusishwe na aliyewazuilia watu wasiofahamika kutimiza majukumu yao !
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 10, 2017 #7 Ohoooo hatari
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,570 Sep 10, 2017 #8 hawa watu ni hatar wapo mpaka kwenye nokia zetu... yaani ukiiwasha kuna watu wanapeana mikono na hatuwajui mpaka sasa ni wawapi
hawa watu ni hatar wapo mpaka kwenye nokia zetu... yaani ukiiwasha kuna watu wanapeana mikono na hatuwajui mpaka sasa ni wawapi